Pole sana,,,, hizo ni changamoto kila mtu anapitia kwa wakati wake nakuomba usijaribu kujiua wanao watateseka sana...
Mi naelewa maisha yalivyo kuishi bila mzazi katika umri mdogo pls wanao watateseka mno.
Anza kwenda kanisani au msikitini kwenye Imani yako........ Kama ni mkatoliki nenda kwa paroko sio kushtaki bali kueleza unachopitia muda huu Nina Imani atakusaidia sana na anaweza hata kufunga novena kwa ajili yako kumbuka una mimba.
Nakuomba narudia usijiue kwa sababu watakao teseka ni wanao na hiyo dhambi itakutesa huko kaburini.