lol.... usijute mtambuzi, ww timiza wajibu wako tu na umpige vita haswaa atakusoma tuu.Mama Ngina alinidokeza kuwa kuna siku alimsikia akizungumza na huyo Mhyao wake kwa simu akiwa nyuma ya nyumba na inaonekana walikuwa wanapanga mikakati fulani..............kitu alichosikia ni kama vile anataka kufunguliwa biashara ya Saloon ya kike sijui ili kumuwezesha...............nasubiri hilo litokee, kama sijamuachisha shule na kumrudisha kijijini................yaani najuta kumleta mjini.......
dahhh! Nimeamua ww ukue baba angu wa ubatizo niliekua nae namtupilia mmbali!!!mimi niko makini, hata hawa wnangu kina ngina unafikiri wataolewa tu na mijianaume isiyo na malengo.............lazima niwa -interview kwanza na kama hawana tembo card..........posa haipokelewi
Mtambuzi uko sahihi kwa 100%
Mpwa anadai jamaa ni mfanyabiashara lakini hajui ni biashara gani anafanya. Na sababu anayodai ya kumuacha huyo mwanamke anayeishi naye kinyumba eti ni mbinafsi na hajishughulishi katika kujiongezea kipato, na sababu lukuki tu zisizo na msingi................Huya muoaji anafanya kazi gani? Na umemuuliza anataka kumuacha huyo mwanamke wa kwanza kwa kosa gani?
Hebu nikumbushe kajukuu ka kwanza ni kapi hako................LOLHeshima mbele mkuu,
hii inaonyesha kuwa binti yako tayari
alishaanza kuvunja amri za Bwana na huyo mkweo mtarajiwa,
Je itakuwa rahisi kuwatenganisha kweli mkuu,
kuna hatari ya kupata tena kajukuu kapili.
Mama Ngina alinidokeza kuwa kuna siku alimsikia akizungumza na huyo Mhyao wake kwa simu akiwa nyuma ya nyumba na inaonekana walikuwa wanapanga mikakati fulani..............kitu alichosikia ni kama vile anataka kufunguliwa biashara ya Saloon ya kike sijui ili kumuwezesha...............nasubiri hilo litokee, kama sijamuachisha shule na kumrudisha kijijini................yaani najuta kumleta mjini.......
Alafu siku hizi mambo ya uwazi na ukweli, Hakuna kuficha ficha mnaweza kumtumbukiza mwanenu kwa jambazi au mzungu wa unga akawa mjane kabla ya siku alafu shida ikarudi kwenu wazazi.Mpwa anadai jamaa ni mfanyabiashara lakini hajui ni biashara gani anafanya. Na sababu anayodai ya kumuacha huyo mwanamke anayeishi naye kinyumba eti ni mbinafsi na hajishughulishi katika kujiongezea kipato, na sababu lukuki tu zisizo na msingi................
zamani enzi ya mabasi ya TTBS ilikuwa rahisi kurudishwa kijijini, lakini siku hizi mtu anakutorokea Ubungo na kesho utasikia anaishi Kwa Mtogole kapangiwa chumba.............................Yaani akikuzingua mrudishe tu,! we mbona ulirudishwa kijijini , na majeraha juu bahada ya kuwaambia dada za watu eti "wauzaji si wanajulikana".
zamani enzi ya mabasi ya TTBS ilikuwa rahisi kurudishwa kijijini, lakini siku hizi mtu anakutorokea Ubungo na kesho utasikia anaishi Kwa Mtogole kapangiwa chumba.............................