Nimekataa posa ya Myao kwa mpwa wangu…………………!

Unazunghumzia stori gani hapo...............Hili jambo kuna baadhi ya wadau humu pia niliwa-PM kuwataka ushauri. Kabla ya kuliweka humu kuna baadhi ya wana JF wanalifahamu...........................Hivi kumbe humu nishaonekana mtu wa tiralila..........eh!

hahaha mzee wa tiralila
 
Ni shida kubwa sana unapokuwa na msimamo chanya wengine
wana msimamo hasi inasumbua, kwa wakati huu wewe ni mbaya sana kwao
ila baada ya muda mfupi watajuta na watakukumbuka.

Hivi hao wamama watu wazima kama mimi hawana akili hata macho hayaoni
jamaa anaendelea kuzaa watoto wao wanamwingiza mtoto wao kichwa kichwa kisa pesa,
waambie hao watani zangu 'tamaa mbele mauti nyuma'.
 
mtambuzi upo sahihi kabisa huyu mpwaa kusoma hatasoma kabisa akili ipo kwenye ndoa kwanza nashangaa alishang'atwa na nyoka lakini bado hajajifunza kama posa itapokelewa na baba yake huko Tanga wewe utakuwa hukushiriki kwa lolote
kama alivyosema binti yako Cantalisia ikiwezekana apelekwe shule ya VETA apate ujuzi wa kujiajiri
 
Malezi yanakikomo chake na muda wake, huwezi tu kuyalazimisha. Akae chini na mpwaa wake waongee na amuelewe sio kuburuzana tu, hata kama yeye ndio mlezi. Ukimsikiliza binti utaelewa kwanini anataka kuolewa sasa. Inawezekana viwango vyake vya mafanikio ni kuwa na mume na mama wa nyumbani. Unapaswa kubadilisha hizo fikira kwanza ili athamini kitu anachosomea! Na je anakipenda -- maana kwa simu anasikika anataka biashara! kazi kweli kweli!
 
Angetaka kuolewa huko kijijini nilipomtoa kuna wanaume wengi tu wachapa kazi na wenye kuthamini KILIMO NI UTI WA MGONGO, kama angeamua kuolewa angefanya maamuzi hayo huko kijijini. Yeye alinililia anataka kusoma na akimaliza kidato cha nne akasomee mambo ya Kompyuta kama alivyodai mwenyewe.................Sasa sijui hata huyo Mhyao walitoana wapi.
Yaani huyu binti anataka kuniuwa na presha.......................
 
Malezi yanakikomo chake na muda wake, huwezi tu kuyalazimisha. Akae chini na mpwaa wake waongee na amuelewe sio kuburuzana tu, hata kama yeye ndio mlezi. Ukimsikiliza binti utaelewa kwanini anataka kuolewa sasa. Inawezekana viwango vyake vya mafanikio ni kuwa na mume na mama wa nyumbani. Unapaswa kubadilisha hizo fikira kwanza ili athamini kitu anachosomea! Na je anakipenda -- maana kwa simu anasikika anataka biashara! kazi kweli kweli!

kumbuka mume mwenyewe ana mke na watoto 2 na binti ana mtoto anayehitaji malezi yote kutoka kwake kwahiyo anatakiwa kuwa mwangalifu kwenye kuchagua fungu lililo bora....hiyo saloon au biashara umesikia kwa simu utekelezaji wake je!! ukichukulia kuwa mama wa nyumbani bila shughuli yoyote kwa maisha haya bado sio issue
 
ndugu hapo hakuna msomaji,ila nakusapoti kwa asilimia zaidi ya mia moja huyo mwanaume sio mume!lakini kumbe ukikaa na mwanaume mkazaa na hamjafunga ndoa waweza achwa akaolewa mwingine?
 
Mkuu unania nzuri lakini sidhani kama kuna msomaji hapo..
 
Mimi niko makini, hata hawa wnangu kina Ngina unafikiri wataolewa tu na mijianaume isiyo na malengo.............Lazima niwa -Interview kwanza na kama hawana TEMBO CARD..........Posa haipokelewi

inatakiwa niwahi kutoa posa maana nahisi nitakuwa na vigezo vyote unavyohitaji.
 
I hope when U interview them you dond ask them about the size of their wee wees. In any case U know best for her and goodluck in your future.
 
kumbuka mume mwenyewe ana mke na watoto 2 na binti ana mtoto anayehitaji malezi yote kutoka kwake kwahiyo anatakiwa kuwa mwangalifu kwenye kuchagua fungu lililo bora....hiyo saloon au biashara umesikia kwa simu utekelezaji wake je!! ukichukulia kuwa mama wa nyumbani bila shughuli yoyote kwa maisha haya bado sio issue
Na ndio maana hata mimi namsikitikia..............................
 
Haya ni maamuzi ya kiume, big up Mtambuzi! Hata ikija ya Mchaga au Mpare au hata Msukuma, kama utaratibu ni huo, piga chini brother.
 
Back
Top Bottom