Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazunghumzia stori gani hapo...............Hili jambo kuna baadhi ya wadau humu pia niliwa-PM kuwataka ushauri. Kabla ya kuliweka humu kuna baadhi ya wana JF wanalifahamu...........................Hivi kumbe humu nishaonekana mtu wa tiralila..........eh!
Malezi yanakikomo chake na muda wake, huwezi tu kuyalazimisha. Akae chini na mpwaa wake waongee na amuelewe sio kuburuzana tu, hata kama yeye ndio mlezi. Ukimsikiliza binti utaelewa kwanini anataka kuolewa sasa. Inawezekana viwango vyake vya mafanikio ni kuwa na mume na mama wa nyumbani. Unapaswa kubadilisha hizo fikira kwanza ili athamini kitu anachosomea! Na je anakipenda -- maana kwa simu anasikika anataka biashara! kazi kweli kweli!mtambuzi upo sahihi kabisa huyu mpwaa kusoma hatasoma kabisa akili ipo kwenye ndoa kwanza nashangaa alishang'atwa na nyoka lakini bado hajajifunza kama posa itapokelewa na baba yake huko Tanga wewe utakuwa hukushiriki kwa lolote
kama alivyosema binti yako Cantalisia ikiwezekana apelekwe shule ya VETA apate ujuzi wa kujiajiri
Malezi yanakikomo chake na muda wake, huwezi tu kuyalazimisha. Akae chini na mpwaa wake waongee na amuelewe sio kuburuzana tu, hata kama yeye ndio mlezi. Ukimsikiliza binti utaelewa kwanini anataka kuolewa sasa. Inawezekana viwango vyake vya mafanikio ni kuwa na mume na mama wa nyumbani. Unapaswa kubadilisha hizo fikira kwanza ili athamini kitu anachosomea! Na je anakipenda -- maana kwa simu anasikika anataka biashara! kazi kweli kweli!

Mimi niko makini, hata hawa wnangu kina Ngina unafikiri wataolewa tu na mijianaume isiyo na malengo.............Lazima niwa -Interview kwanza na kama hawana TEMBO CARD..........Posa haipokelewi
Na ndio maana hata mimi namsikitikia..............................kumbuka mume mwenyewe ana mke na watoto 2 na binti ana mtoto anayehitaji malezi yote kutoka kwake kwahiyo anatakiwa kuwa mwangalifu kwenye kuchagua fungu lililo bora....hiyo saloon au biashara umesikia kwa simu utekelezaji wake je!! ukichukulia kuwa mama wa nyumbani bila shughuli yoyote kwa maisha haya bado sio issue