Nimekatandika

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Kanazingua...
KENYEWE: pipi
MIMI: haya kachukue kwenye friji
KENYEWE: taaki (yaani sitaki) kana 2yrs ka kiume
MIMI : Unataka nini
KENYEWE: ua (maana yake nivue nguo joto)
MIMI: Nimekavua nguo
KENYEWE:tuuni (maana yake niwekee katuni)
MIMI: Nimekawekea Disney Jr
KENYEWE🙁Tena) tuuni
MIMI: Si hizoo
KENYEWE: taaki
MIMI: Sasa unataka nini
KENYEWE : Pipi, huku kanalia
MIMI: kachukue kwenye friji...Nikanyanyuka nikachukulie
MIMI: Haya shika
KENYEWE: taakii
MIMI(Kimoyomoyo) : unazingua...Nimekandandika mabao ka mawili hivi hali hakajavaa nguo...nikakalazimisha kalale...

Heshima kwa wanawake wote na mabeki tatu kwa kazi ngumu ya kulea hawa binadamu wadogo,haki! ni wasumbufu sana...Love has its limitations.

Kama kuna housemaids wanatafuta kazi kwangu ipo nafasi moja...

Nikiwa off Bora kushinda bar mambo ya kuachiwa mtoto Haya sio
 
ww naona umechoka na Dunia hii
kanyonge basi
sisi wenzako mpaka Kliniki tunawapeleka kupima uzito
ww kumbembelezea pipi unashindwa?
mm kwangu marufuku beki 3
 
acha ubaki
ili kinababa wajue majukumu yao sio kuwaachia MaHouse girl au kuoa nyumba ndogo
Wameupeleka chit chat huko ndio kwake sio pale mwanzo kwenye habari mchanganyiko
 
ww naona umechoka na Dunia hii
kanyonge basi
sisi wenzako mpaka Kliniki tunawapeleka kupima uzito
ww kumbembelezea pipi unashindwa?
mm kwangu marufuku beki 3
Sasa si kanizungua man Pipi hakataki,Ila mabao yamesaidia kamelia mwishowe kamelala kakiamka nakapiga bakuli ya oatmeal kanatulia najua wenge litakuwa limeishia usingizini
 
ww naona umechoka na Dunia hii
kanyonge basi
sisi wenzako mpaka Kliniki tunawapeleka kupima uzito
ww kumbembelezea pipi unashindwa?
mm kwangu marufuku beki 3
Kliniki huwa nakapeleka pia boss Ila leo kamezingua...
 
Yaani huo usumbufu ndo raha ya kubaki na mtoto, hukutakiwa kukatandika hako ni bado kamalaika
 
kosa kubwa umekaonea hiyo kawaida kwa mtoto hata ww ulikuwa hivyo be ware you can distort his self esteem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…