Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,047
- Thread starter
- #21
.....wameweza kununuliwa kwa kanga,tisheti na vilemba vya ccm vilivyomwagwa kama njugu siku mbili kabla ya uchaguzi.Aidha matokeo ya hapa yalijulikana mapema miezi miwili nyuma au mitatu pale ambapo wana kagera walipouza shahada zao kwa bei ya kilo moja ya nyama(steki).
Uhh! Ni aibu na fedhea yetu sote na watu wetu. Tunarejea vipi kwenye mkondo sahihi wa maendeleo na siasa za kitaifa?