Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.

Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home

K 4 LIFE!!! which K?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.

Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home

Daah! jf raha sana
 
kwa hyo ndugu umeshaamua kuniita mm nyoka kwa kua nilikukimbiza ili unilipe deni langu poa bhn ila hongera bhn una speed hataree mkuu kama ningekukamata ningekuvua kila kitu
 
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.

Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
Endelea kutoa nyuzi type hii maana umeshajitanabaisha akili yako ilivyo na unapata views nyingi kwelikweli watu wakiona nyuzi zako celeb wa mikumi! wanafungua ili wapunguze stress! hongera usain bolt wa mikumi!
 
Simulizi ya ndoto hiyo neda kwa mashehe wakakutafsilie
 
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.

Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
hakuwa koboko huyo, ulivuta bange kabla hujala
 
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.

Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
Hakuwa koboko huyo, ulivuta bange ya singida bila kula
 
Back
Top Bottom