Marhaba wanetu habari za jpili
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.
Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
Njemaaaa tupo na kichanga tunalea
Tabora na katavi
Nileteeni hicho kichanga na mimi nikilee kidogo
halafu alivyokuacha wewe akaniibukia na mimi ni bala kanikimbiza siku mbili mfulilizo hapumziki nikakimbilia kwenye daladala ndo akaniacha !
Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.
Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
weka picha tumwone
Huyo hapo.
Huyo ndio mwenyewe Mkuu
Hatari sn huyo mdudu.......
Huyo hapo.
Endelea kutoa nyuzi type hii maana umeshajitanabaisha akili yako ilivyo na unapata views nyingi kwelikweli watu wakiona nyuzi zako celeb wa mikumi! wanafungua ili wapunguze stress! hongera usain bolt wa mikumi!Wakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.
Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
hakuwa koboko huyo, ulivuta bange kabla hujalaWakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.
Ghafla akanitokea nduki anakimbia mbaya mbovu uwezi amini tumezungushana mtaani zaidi ya masaa 2 ndio nikampoteza maboya na kurudi home
Hakuwa koboko huyo, ulivuta bange ya singida bila kulaWakuu jana jioni nilipokua narejea home gafla nilikutana na nyoka Koboko kafura katikati ya njia uku kapanua kichwa kimekua kipana kama upawa.