Nimekoma kuikosoa Biblia hapa JF

Mr the dragon

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
1,937
Reaction score
3,718
Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika.

Lakini Jana usiku Mwenyezi Mungu Mungu kanionyesha muujiza kuhusu Biblia ndio maana nimekuja hapa kuomba msamaha na kukoma kuikosoa Biblia.

Hakika Mungu ni mkuu na vitabu vyake alivyotuachia ni vya ukweli.Nimezaliwa kwenye familia ya kisabato mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa kipindi niko form three ila Leo naenda.

Mungu awabariki.
 
Mungu akuongoze na kukutangulia. Twende tukasali Kurasini SDA Mdogo wangu
 
Biblia ipi ? Agano jipya au lakale? ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…