Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,165
Huyo huyoMungu yupi? Yule aliyepigiliwa misumari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo huyoMungu yupi? Yule aliyepigiliwa misumari?
Asante na wew piaAmina Mungu akubariki.
unajua maana ya Biblia kwanza chief?Biblia ipi ? Agano jipya au lakale? ..
Mungu anayezungumziwa hapa ni yule aliyeziumba mbingu na nchi ,aliekuwepo na atakaye kuwepo na neno lake halibadiliki kamwe.Mungu yupi? Yule aliyepigiliwa misumari?
Asante
Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika.
Lakini Jana usiku Mwenyezi Mungu Mungu kanionyesha muujiza kuhusu Biblia ndio maana nimekuja hapa kuomba msamaha na kukoma kuikosoa Biblia.
Hakika Mungu ni mkuu na vitabu vyake alivyotuachia ni vya ukweli.Nimezaliwa kwenye familia ya kisabato mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa kipindi niko form three ila Leo naenda.
Mungu awabariki.
Amina.Nakuja hapo kurasini SDAMungu akuongoze na kukutangulia. Twende tukasali Kurasini SDA Mdogo wangu
Leo sijaja kubishana kuhusiana na Biblia kama unaijua kuzidi mimi haina shida mkuu.WEWE USIJE KWA STYLE HIO YA UJANJA WA KUKATA MKASI MBELE HUKU INATIWA VIDOLE NYUMA[emoji1321]
MIMI BINAFSI NI MUISLAMU HALISIA NA BIBLIA NAIJUA KULIKO UNAVYOIJUA WEWE,,
HAYA FUNGUKA HIO KASORO YAKO ULIOIKOSOA MPAKA UKAIJUTIA[emoji1321]
USILETE USANII KATIKA JUMBA LA SANAA,,[emoji1321]
Leo sijaja kubishana kuhusiana na Biblia kama unaijua kuzidi mimi haina shida mkuu.
Mungu akubariki.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ukiifahamu kweli itakuweka huru, sabato njema mkuu.Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika.
Lakini Jana usiku Mwenyezi Mungu Mungu kanionyesha muujiza kuhusu Biblia ndio maana nimekuja hapa kuomba msamaha na kukoma kuikosoa Biblia.
Hakika Mungu ni mkuu na vitabu vyake alivyotuachia ni vya ukweli.Nimezaliwa kwenye familia ya kisabato mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa kipindi niko form three ila Leo naenda.
Mungu awabariki.
Happy Day Now Listen To Evangelist Amon J Mkangala So Blessing Moment.Brothers In Christ!! Happy sabath to you!!