Nimekoma kutafuta mademu mitandaon

Hivi unafanya mashindano ya kuanzisha thread humu!!!
 
vipi, mkeo aliyekusemea ufukuzwe kazi ili akutese bado unaye? acheni kujaza pumba hapa jf. sijui ninyi ni majini au watu hata huwa sielewi.
 
Ila unataka ugundue nini?
Hapana shemu wangu hiki kisa ni cha kweli leo nilienda kukutana na msichana wa mtandaon nilivyo mkuta na jinsi alivyokuwaga ananitumia picha ni vitu viwili tofaut kabisa

Lakin usimwambie wife mbitiyaza
 
vipi, mkeo aliyekusemea ufukuzwe kazi ili akutese bado unaye? acheni kujaza pumba hapa jf. sijui ninyi ni majini au watu hata huwa sielewi.
Bado niko naye mkuu si unajua tena yule ndo wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…