mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Lizzy heri ya mwaka mpya.
Kweli nimekukubali uu mfuatiliaji wa mambo
Ubarikiwe sana l
OHHH na wewe pia mpendwa.
Hopefully umeanza vizuri.
Hhhm mambo gani hayo?
Nimeuanza salama kabisa nashukuru
Hapo si unaona umemuibua jamaa na uongo wake. Aliapa kwamba anampenda sana mke wake na anaridhika nae halafu leo anaanzisha topic kuwa haridhiki na mke wake mpaka anataka kucheat