Nimekoma kwa niliyotenda mwaka 2011

Nimekoma kwa niliyotenda mwaka 2011

QUOTE=Lizzy;3064574]Mzima wa afya baba!!Vipi wewe?
Heri ya mwaka mpya nawe pia. . . . ukuwie mzuri![/QUOTE]
Lizzy heri ya mwaka mpya.
Kweli nimekukubali uu mfuatiliaji wa mambo
Ubarikiwe sana l
 
OHHH na wewe pia mpendwa.
Hopefully umeanza vizuri.

Hhhm mambo gani hayo?

Nimeuanza salama kabisa nashukuru

Hapo si unaona umemuibua jamaa na uongo wake. Aliapa kwamba anampenda sana mke wake na anaridhika nae halafu leo anaanzisha topic kuwa haridhiki na mke wake mpaka anataka kucheat
 
Hahahaha. .. yeahhh kwenye mada nyingine alikua anajifanya mstaarabu alafu huku analipua.Sijui ndio wale changamsha jamvi!!

Nafurahi kusikia hivyo. . . uendelee kuwa mzuri!!
 
Back
Top Bottom