Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kiuhalisia wanafunzi wengi wa chuo hawanaga ujasiri wa kuomba laki mbili kwa wakati mmojaAu ukute yupo kwenye magroup ya telegram huko anakizungusha tuu hapo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiuhalisia wanafunzi wengi wa chuo hawanaga ujasiri wa kuomba laki mbili kwa wakati mmojaAu ukute yupo kwenye magroup ya telegram huko anakizungusha tuu hapo dar
Mwaka huuIlikua lini kaka? Miaka hyo babati maeneo ya kijanja yalikua labda uende white rose au royal
Hahahaha siyo pwNilipoona tu umesema akaenda chuo UDSM, nikajua tu kinachofuata ni kupigwa na kitu kizito kichwani[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Unadeti demu wa chuo halafu ni saidia fundi jioni unapewa elfu 10
Au uko home unabeti
Lazima mapenzi yawe machungu kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka una hakika anasoma udsm huyu?
Ukute mwenzio yuko kitunda matembele huko ameajiriwa kwa mama ntilie
Afu cjui kwann watu wanapenda kusema wanasoma UDSM. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipoona tu umesema akaenda chuo UDSM, nikajua tu kinachofuata ni kupigwa na kitu kizito kichwani[emoji23][emoji23]
Wapoo sanaaa sema wanategemea na huyo mtu alokua nae yukojee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiuhalisia wanafunzi wengi wa chuo hawanaga ujasiri wa kuomba laki mbili kwa wakati mmoja
Hao hawavijui vyuo vingine kwasababu si wanafunzi na hawana lolote walijualo kuhusu Vyuo, wao wanaamini Chuo ni UDSM pekee, ndiomaana kimewakaa akilini.Afu cjui kwann watu wanapenda kusema wanasoma UDSM. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Account za Facebook za mademu wote , awe demu Pori au town wote udsm , Sema demu aliyekutana naye mwanetu sio wa chuo huyo , ni mdangaji mademu wa chuo wachache Sana wa kuomba 200K per onceAfu cjui kwann watu wanapenda kusema wanasoma UDSM. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mdada m1 niliwahi mkamata uongo wake, eti alisema anasoma UDSM nkamuuliza course gani, eti Daktari wa Mifugo.Hao hawavijui vyuo vingine kwasababu si wanafunzi na hawana lolote walijualo kuhusu Vyuo, wao wanaamini Chuo ni UDSM pekee, ndiomaana kimewakaa akilini.
Malaya wengi kutoka DAR wanawakamata wanaume wa mikoani kwa kigezo cha mwanafunzi wa UDSM, maajabu ukiwauliza wanasomea course gani hapo ndipo KASHESHE INAPOANZIA[emoji23][emoji23] utasikia mimi dactariii mala ooh mimi nyokonyoko nyingi[emoji23][emoji23].
Laki mbili chap chap daah mwanetu kapigwa sio poaKwanzia ulipoonana nae ukiwa umevaa t-shirt ya maua ua pale sokoni alafu before chochote akaomba hela ukam-clear bila shida, ilipofika dinner ya pamoja ukaagiza bugger yeye akaagiza ugali, Ulipomualika gheto alafu akatoka bilabila, Anakuambia anaenda Dsm ukam-clear 200k, Kafika tena ukam-clear 50k basi ni dhahiri huyu dem hadi wa leo anakuonaga boya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii. Yaan wee acha tyuuhAccount za Facebook za mademu wote , awe demu Pori au town wote udsm , Sema demu aliyekutana naye mwanetu sio wa chuo huyo , ni mdangaji mademu wa chuo wachache Sana wa kuomba 200K per once
Huyo tapeli tu, tena watu wa hiyo sampuri huwa hata hawajui location ya chuo[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwingine huku kaulizwa coz gan, kajibu PCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mdada m1 niliwahi mkamata uongo wake, eti alisema anasoma UDSM nkamuuliza course gani, eti Daktari wa Mifugo.
Nilicheka ile siku km chiziii wallah.
noma sana nimekubaliHabari wana jf,,
Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita apa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa wambulu mix wamasaai na wengine wanajiita wairaq sijui kwann wanajiita hio ila ni walewale wambulu lugha ni moja kila kitu,
Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati sehemu moja ivi wanaita Gendi kwa mwenyezi wa maeneo hayo atakuwa anapafahmu, siku kama hiyo soko huwa linajaa kila aina ya bidhaa na kila mtu akijaribu kutafuta riziki yake,
Sasa siku hiyo jamaa angu mmoja akaniomba nimsindikize huko mnadani, nikavaa freshi kadeti yangu kali nikatupia tisheti ya maua maua tukaelekea mnadani, daah tulipofika huko moja kwa moja tukaelekea sehemu moja wanauza nguo za mitumba, jamaa angu akachagua pale.
Mimi nikiwa naangalia angaza macho uku na kule tukagongeshana macho na demu mmoja wa kimbulu, demu alikuwa na shape no 8 sasa sijui ikawaje huyo demu ananiangalia kama ananijua na mm huku ghafla nikamtamani, yule manzi akawa anajizungusha ile sehemu lakini macho hayatoki kwangu na kila nikimtazama na yy ananitizama halafu tinakwepana yaani ni kama alikuwa ananiambia nimfuate kwa kutumia lugha ya macho.
Sasa nikamstua jamaa pale nikamueleza akasema tumfuate lkn ni kama yule demu anakuja upande wetu, alipofika tulipokuwa akajaribu kujichagulisha nguo halafu akaondoka mi ata sikumsalimia nikaona anarudi tena daaaaah nikasema apa simuachi nikamgusa mkono akageuka nikampa hi akaitika hi, nikamuuliza vip mbona unaniangalia sana akajiona aibu akasema samahani kaka nilikuwa nakufananisha na mtu fulani, nikamuuliza unaishi wapi akajibu babati karibu na kanisa la katoliki, ilikuwa ni karibu na sehemu ninapoishi mm, nikamuomba no akanipa nikasema nitakuchek mida nikaondoka na jamaa angu, imefika muda fulani ivi ya night yaani nishatoka mnadani nikamcheki akapokea nikamueleza mi ni yule wa mnadani akanipata akaniuliza kama hiyo ni no yangu akaisave, so siku ikapita.....
Siku moja ilikuwa siku ya jmos nikamcheki kwenye phone akapokea nikamuuliza muda huo ana kazi gani ili tukapte lunch pamoja akasema anajiandaa na safari ya kwenda chuoni UDSM alikuwa anaenda kuchukua bach ya law, nikamuuliza anaondoka akaniambia Iwiki moja mbele nikasema siyo mbaya tukikutana ili tufahamiane zaidi akasema siyo mbaya.
Siku ya j4 tukameet Mida ya jioni kwenye restaurant fulani ivi pale babati inaitwa UZUNGUNI CITY PARK wenyeji wanapaelewa so nikaagiza pale dinner mi nikaagiza pizza yeye akaagiza ugali nyama tukala huku tunaongea...
Siku hiyo nilijipanga kisawasawa kuhakikisha hachomoki salama kwenye huo mtego, demu alikuwa mkali maji ya kunde yaani kiufupi pale restaurant kila mtu alihusudu urembo wake, nikatupia ndoano demu akanasa ila kwa masharti matatu yaani nimpende kweli, nimjali, nisimdanganye. Nikasema hayo hayana shida, nikamuomba twende apaone hata pale ninapoishi akakubali nikasema apa ni afe kipa afe beki oóh my ghossh,,,,,,, tukafika home tuka ingia ndani akakaa kwenye sofa pale so namm nikamsogelea sasa akawa kama hataki nimsogelee sana hilo nikalijua nikatumia mbinu moja nikamuomba simu yake akanipatia nikamuambia anirushie baadhi ya picha zake hapo ndipo alikosea maana wakati anasogea kuchua simu ili asican xender akanisogelea simu yake ikawa inasumbua kuscan ikabidi anisogelee karibu sasa vile kuhemeana karibu uzalendo ulinishinda pale pale nilikuwa kama akili yangu haipo nilimshika kiuno nikamsogelea zaidi nikaona hakatai wala hafanyi lolote ile kumsogelea akasapoti akanikalia kwa juu nikamchezea pale huku anatoa miguno ambayo nilijua zilikua ni miguno ya kimahaba, nikambinua ili niwe juu yake,
Nikapitisha mkono ikulu kwake ili nilambe asali akaushika mkono wangu na kuisukuma kwa nguvu nikajaribu tena Kagoma kabisa,. Haikuwa kesi nikamuacha akaanza kunililia akilalamika kumbe simpendi lengo langu ni kumchezea tu, nitajitahid kumuweka sawa kumuminisha kuwa nampenda na kilichotokea nilishindwa kujizuia akanielewa....
Siku ya kuondoka chuo ikafika akaniomba nimsaidie laki 2 ya matumizi nikampa,,,,
Akaondoka UDSM alipofika huko maigizo yakaanza aiseee yule demu alikuwa ni chuma ulete sijawahi ona siku moja tu ndiyo amefika dar akaniomba tena elfu 50 nikampa,,,,,shida kwake alikuwa nduguye shida yaani shida hazikauki utadhani mi ndiyo mzazi wake sasa yaani hadi ada aliiomba nikasema hapa mpaka tukutane nikamueleza aje Dodoma namtumia nauli akaja siku hiyo nilikuwa na langu jambo kupiga na kupotea , demu akaja Dodoma tukaenda zetu lodge kilichotokea ni siri yangu n yeye ,,, so nikamuambia arudi chuo afu ada namtumia alipofika UDSM kama kesho akanicheki kuhusu ile ada nikamwambia subiri wiki ijayo harakati hazijakaa vizuri akaelewa,,,, akanicheki tena siku nyingine akidai hana hela ya kula adu hata mkopo amekosa hapo nilicheza kama pele yaani kiliweka kindege...... finally nikamblock hadi sasa anakitafuta kwa namba nyingine nikisikia sauti yake na hiyo namba nblock
YULE DEMU NI CJUMA ULETE MCHUNAJI NA MVUNAJI
Umesema ulimpa laki mbili demu ? Yaani elfu kumi kumi 20. Elf tano tano arobaini. Zote ukampa mwanamk tena kipind unampa hata hujagonga. Laki mbili kabisa...?!!! Pole sana.Habari wana jf,
Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu.
Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati sehemu moja hivi wanaita Gendi kwa mwenyezi wa maeneo hayo atakuwa anapafahamu, siku kama hiyo soko huwa linajaa kila aina ya bidhaa na kila mtu akijaribu kutafuta riziki yake.
Sasa siku hiyo jamaa angu mmoja akaniomba nimsindikize huko mnadani, nikavaa freshi kadeti yangu kali nikatupia tisheti ya maua maua tukaelekea mnadani, daah tulipofika huko moja kwa moja tukaelekea sehemu moja wanauza nguo za mitumba, jamaa angu akachagua pale.
Mimi nikiwa naangalia angaza macho huku na kule tukagongeshana macho na mwanamke mmoja wa Kimbulu, alikuwa na shape no 8, sasa sijui ikawaje huyo mwanamke ananiangalia kama ananijua na mimi huku ghafla nikamtamani, yule manzi akawa anajizungusha ile sehemu lakini macho hayatoki kwangu na kila nikimtazama na yeye ananitizama halafu tunakwepana, yaani ni kama alikuwa ananiambia nimfuate kwa kutumia lugha ya macho.
Sasa nikamstua jamaa pale nikamueleza akasema tumfuate lakini ni kama yule mwanamke anakuja upande wetu, alipofika tulipokuwa akajaribu kujichagulisha nguo halafu akaondoka mimi hata sikumsalimia nikaona.
Anarudi tena daaaaah nikasema hapa simuachi nikamgusa mkono akageuka nikampa hi akaitika hi, nikamuuliza vipi mbona unaniangalia sana akajiona aibu akasema samahani kaka nilikuwa nakufananisha na mtu fulani, nikamuuliza unaishi wapi akajibu Babati karibu na kanisa la katoliki, ilikuwa ni karibu na sehemu ninapoishi mimi.
Nikamuomba no akanipa nikasema nitakuchekI mida nikaondoka na jamaa angu. Imefika muda fulani hivi ya night, yaani nishatoka mnadani nikamcheki akapokea, nikamueleza mimi ni yule wa mnadani akanipata akaniuliza kama hiyo ni no yangu akaisave, so siku ikapita.
Siku moja ilikuwa siku ya Jumamosi nikamcheki kwenye phone akapokea, nikamuuliza muda huo ana kazi gani ili tukapate lunch pamoja, akasema anajiandaa na safari ya kwenda chuoni UDSM, alikuwa anaenda kuchukua bachi ya law. Nikamuuliza anaondoka akaniambia wiki moja mbele, nikasema siyo mbaya tukikutana ili tufahamiane zaidi akasema siyo mbaya.
Siku ya Jumanne tukameet mida ya jioni kwenye restaurant fulani hivi, pale Babati inaitwa UZUNGUNI CITY PARK wenyeji wanapaelewa, so nikaagiza pale dinner mimi nikaagiza pizza yeye akaagiza ugali nyama tukala huku tunaongea.
Siku hiyo nilijipanga kisawasawa kuhakikisha hachomoki salama kwenye huo mtego, mwanamke alikuwa mkali, maji ya kunde, yaani kiufupi pale restaurant kila mtu alihusudu urembo wake. Nikatupia ndoano mwanamke akanasa ila kwa masharti matatu, yaani nimpende kweli, nimjali, nisimdanganye.
Nikasema hayo hayana shida, nikamuomba twende apaone hata pale ninapoishi, akakubali, nikasema hapa ni afe kipa afe beki. Oóh my ghossh, tukafika home, tukaingia ndani akakaa kwenye sofa pale, so namimi nikamsogelea sasa akawa kama hataki nimsogelee sana.
Hilo nikalijua, nikatumia mbinu moja nikamuomba simu yake akanipatia, nikamuambia anirushie baadhi ya picha zake. Hapo ndipo alikosea, maana wakati anasogea kuchua simu ili asican xender akanisogelea simu yake ikawa inasumbua kuscan, ikabidi anisogelee karibu.
Sasa vile kuhemeana karibu uzalendo ulinishinda pale pale, nilikuwa kama akili yangu haipo. Nilimshika kiuno nikamsogelea zaidi, nikaona hakatai wala hafanyi lolote. Ile kumsogelea akasapoti akanikalia kwa juu nikamchezea pale huku anatoa miguno ambayo nilijua zilikuwa ni miguno ya kimahaba, nikambinua ili niwe juu yake.
Nikapitisha mkono ikulu kwake ili nilambe asali akaushika mkono wangu na kuisukuma kwa nguvu, nikajaribu tena kagoma kabisa. Haikuwa kesi nikamuacha akaanza kunililia akilalamika kumbe simpendi lengo langu ni kumchezea tu, nitajitahid kumuweka sawa kumuminisha kuwa nampenda na kilichotokea nilishindwa kujizuia akanielewa.
Siku ya kuondoka chuo ikafika akaniomba nimsaidie laki 2 ya matumizi nikampa. Akaondoka UDSM, alipofika huko maigizo yakaanza. Aiseee yule mwanamke alikuwa ni chuma ulete sijawahi ona, siku moja tu ndiyo amefika Dar akaniomba tena elfu 50 nikampa. Shida kwake alikuwa nduguye, yaani shida hazikauki utadhani mimi ndiyo mzazi wake.
Sasa yaani hadi ada aliiomba nikasema hapa mpaka tukutane, nikamueleza aje Dodoma namtumia nauli, akaja siku hiyo nilikuwa na langu jambo kupiga na kupotea. Mwanamke akaja Dodoma tukaenda zetu lodge kilichotokea ni siri yangu na yeye.
So nikamuambia arudi chuo halafu ada namtumia, alipofika UDSM kama kesho akanicheki kuhusu ile ada nikamwambia subiri wiki ijayo harakati hazijakaa vizuri akaelewa. Akanicheki tena siku nyingine akidai hana hela ya kula hadi hata mkopo amekosa, hapo nilicheza kama Pele yaani kiliweka kindege.
Finally nikamblock hadi sasa anakitafuta kwa namba nyingine, nikisikia sauti yake na hiyo namba nablock. Yule mwanamke ni chuma ulete, mchunaji na mvunaji.
AissOk wambulu na wairaq ni wale wale ila wanapenda kujiita wairaq maana neno wambulu maana ake ni (wapenda mb*l*) tafsiri isiyo rasmi na hii walipewa na jamii inayowazunguka kwa kuona mabinti wao wanavyopenda abdalah kichwa wazi
MmhhAiss