Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

Mkuu,sisi binadamu tunakula vitu vingi sana vichafu ila Mungu tu ndye anayetupigania!
 
Nmezidi uvivu wanawake wa karne hii!waambie na wanzako!
 
Kinachonisikitisha ni kuwa mtoa mada ni mdada....vitafunwa(chapati,andazi,kitumbua, kalimati,n.k) anaenda kupanga foleni kununua....!

Acheni tu waoaji waendeleze mgomo wao....! Kwanza MADUDE YAMEKAKAMAA
 
ivi ile pesa ulisharudisha kwa mumeo.....tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…