kalooo son of Kambarage
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 275
- 181
ABC mkuuSamahani Mkuu,,, ni NBC au ABC?
Umejaribu kuonana na uongozi wa Bank na kuwaeleza suala hili Mkuu?ABC mkuu
Ndio lakini hawalishugulikii na hawatoi jibu lini watanipaUmejaribu kuonana na uongozi wa Bank na kuwaeleza suala hili Mkuu?
NBC au ABC?Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye uelewa naomba anishauri nifanyeje mm in mtumishi wa umma.
Mkuu taratibu za kusitisha ni zpi?NBC au ABC?
Kuna uwezekano ukabatilisha hilo swala la mkopo au shida imekubana?
Nahisi watakuwa wasumbufu, na pia kaonane na meneja wakurudishie pesa wanazokata.
Najua unapokopwa, unapita mwezi mzima baada ya kupewa hizo pesa, ndio unaanza kukatwa.
Sasa huna vigezo, hujapewa pesa, wanaweza aje ku activate makato ya marudisho ya mkopo?
Kama hawajakupa pesa na wanadai kuna taratibu hazijakamilika, ni kuwaambia hutaki tena mkopo. Ingekuwa wamekupa pesa, pengine wangetaka uwalipe kiasi fulani na riba yao, lakini hujapewa pesa yoyote.Mkuu taratibu za kusitisha ni zpi?
ABC mkuuNBC au ABC?
Kuna uwezekano ukabatilisha hilo swala la mkopo au shida imekubana?
Nahisi watakuwa wasumbufu, na pia kaonane na meneja wakurudishie pesa wanazokata.
Najua unapokopwa, unapita mwezi mzima baada ya kupewa hizo pesa, ndio unaanza kukatwa.
Sasa huna vigezo, hujapewa pesa, wanaweza aje ku activate makato ya marudisho ya mkopo?
ABC mkuu ,nipe taratibu za kusitishaKama hawajakupa pesa na wanadai kuna taratibu hazijakamilika, ni kuwaambia hutaki tena mkopo. Ingekuwa wamekupa pesa, pengine wangetaka uwalipe kiasi fulani na riba yao, lakini hujapewa pesa yoyote.
Ndugu usiwe na haraka wala usihofu makato yako yote yapo documented, cha msingi waambie wakutumie au nenda wakueleze kwa nini wanakukata kabla ya kutimiza masherti yote, pia inaonekana hata mkataba wa mkopo hukusaini hapo nikama wanakuhifadhia fedha zako zote zitarudi na faida juu.Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye uelewa naomba anishauri nifanyeje mm in mtumishi wa umma.
Pitia mkataba kama walikupa, uone jinsi ya kusitisha.ABC mkuu ,nipe taratibu za kusitisha
Hicho kipengele sijakiona mkuu kipo kisemacho kuwa mkataba utatambulika rasmi tu pale ambapo nkijakuingiziwa hela nje na hapo hautambuliki.Pitia mkataba kama walikupa, uone jinsi ya kusitisha.
hapa si anaweza hata kuwafungulia mashitaka na akadai gawio kutokana na fedha ambayo wamemkata/kumwibia?Kama hawajakupa pesa na wanadai kuna taratibu hazijakamilika, ni kuwaambia hutaki tena mkopo. Ingekuwa wamekupa pesa, pengine wangetaka uwalipe kiasi fulani na riba yao, lakini hujapewa pesa yoyote.
Wawahi na mapema, huu mwanzo sio mzuri.Hicho kipengele sijakiona mkuu kipo kisemacho kuwa mkataba utatambulika rasmi tu pale ambapo nkijakuingiziwa hela nje na hapo hautambuliki.
Ndiohapa si anaweza hata kuwafungulia mashitaka na akadai gawio kutokana na fedha ambayo wamemkata/kumwibia?
OK !Ndio