LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
We ni nouma mkuuMkuu pole Sana, hata Mimi napitia changamoto hiyp hiyo kwenye Financial Institution moja hv, lakini Mimi nimewaambia ikifika kesho bila kupata majibu Basi manager wao wa Wilaya nitamuweka korokoroni maana uwezo huo ninao, wakati huo nimepanga niingie gharama nimlipe Askari asafiri kwenda Dar kunikamatia mkurugenzi Mtendaji nataka amlete huku mpakani nilipo maana ndipo utapeli huo umefanyika!