Nimekopa ABC, wameanza kunikata deni hata kabla sijaingiziwa hela

We ni nouma mkuu
 
We ni nouma mkuu
Mkuu wanakera, yaani fedha hawajakupa halafu salio lako wanafyeka. Huu kwangu ni uhuni Sasa dawa ya mtu anayecheza rafu nawe lazima umchezee rafu.
 
Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye uelewa naomba anishauri nifanyeje mm in mtumishi wa umma.
aise huo uzembe asa wanakata nini kama hujatimiza masharti, acha kulala kawakabe shingo hao
 
Nilishawahi pitia hili sekeseke. Hawa jamaa mbuzi kweli. Yaani nilienda kusitisha wasinipe hio hela ila warudishe fedha walizokata. Jioni nikaona wameweka hela.
Swali. Mm umeshaanza kunikata miezi miwili leo unanikopesha na riba juu at the same time unahela yangu ya miezi miwili.
Taasisi za kifedha bongo ni uozo mkubwa kwa baadhi yao.
 
Jamani nimekopa pesa kwenye bank ya ABC lakini nakatwa miezi miwili bila kuingiziwa pesa kwenye akaunti yangu na bado wananipga kalenda et sijatmiza vigezo alafu bado nakatwa.Wanajamvi mwenye uelewa naomba anishauri nifanyeje mm in mtumishi wa umma.
Umeanza kukatwa marejesho au isije kuta umeakatwa garama za kuprocess mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…