Nimekosa amani ya moyo ni Wiki ya pili sasa

Nikwambie kitu mkuu wewe unamatatizo madogo Sana kwahiyo shukuru Mungu wako unapata pesa ya tumbo Kwa siku.

Kila MTU akieleza mambo anayopitia hapa asee utalia lakini watu wanakaza na Maisha yanapita.

Usisahau kumshukuru Mungu wako Kwa hayo unayopitia na pia Endelea Kumuomba Mungu wako hayo unayopitia yakuishie.

Tabasamu liwepo kwa maana linaficha mambo mengi.
 
Weekend hii tafta pisi ule... kaa nayo mpk jpili utanishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…