Nimekosa cha kujifunza kutoka kwa marehemu Sam wa Ukweli

Nimekosa cha kujifunza kutoka kwa marehemu Sam wa Ukweli

Humanity can not be determined by material things....

Hata kama unamiliki ghorofa refu kama la Trump tower,utakufa tu na utazikwa na kipande cha shuka tu bila hata chup wala hilo ghorofa lako,
once you die,it doesnt matter.

Ulishawahi kuona wafalme wa saud wanavyozikwa?licha ya kuwa nautajiri wa kutisha?
 
Thanks mkuu
 
jambo la kujifunza kwa mtu sio mali tu! Naona umebase sana kwenye mali tu! Maisha ni zaidi ya mali na kuna mengi zaidi ya kujifunza kwa watu kuliko Mali!, naona unajiwazia mali tu!
 
Mtoa mada " kuna mambo mengi ya kujifunza kwa watu katika haya maisha tunayoishi " Ukiachana na Mali "" neno mafanikio ni msamiati unao beba dhana pana ""Dhana ambayo huwa inategemea na Kile alichokuwa anakilenga mtu husika .....KUNA WENGINE MAFANIKIO KWAO NIKUOA/KUOA ..KUVUNA MAZAO ". KUMALIZA MASOMO YA ELIMU YA JUU"".. KUWA NA HEKIMA/UTU KATIKA JAMII"" ....WAWEZA KUONA JINSI AMBAVYO CHE GUEVARA ALIVYOACHA NA FASI NYETI YA UONGOZI ALIYOPEWA NA FIDEL CASTRO ""KISHA AKAKIMBILIA AFRICA MASHARIKI KWAAJILI YA KUMSAIDIA LAURENT KABILA KATIKA OPERATION YA KUIKOMBOA CONGO TOKA MIKONONI MWA MOBUTU "" KWA CHE GUEVARA HAYO KWAKE YALIKUWA NI MAFANIKIO ...... USISAHAU KUHUSU MOTHER TERESA "" MWANAMAMA MTAWA ALIYEAMUA KUJITOLEA MAISHA YAKE YOTE KWAAJILI YA KUMTUMIKIA MUNGU ...KWA UPANDE WAKE HAYA PIA NI MAFANIKIO ..

inaonyesha umesoma lakini hujaelimika ""... bado unashindwa kumthamini mtu kwakuwa tu hana kitu ......hivi ulishawahi kujiuliza kwanini nyerere alitengenezewa nyumba na jeshi baada ya kustaafu kuiongoza nchi "" wakati alikuwa na mamlaka makubwa nchini na angeweza kustaafu huku akiwa na ukwasi wa kutosha ......???
Nyie ndugu zangu mna utetezi dhaifu sana na kibaya zaidi mnatafuta public sympathy that's too bad!

Nani ambaye anamdharau masikini hapa?
Hakuna anayemdharau masikini tunachotaka kukiaddress kipo wazi unfortunately wote mnazunguka mbuyu na kumung'unya maneno. Mimi naamini kuna umasikini wa kujitakia yes "umasikini wa kujitakia". Hivi leo hii Jay z atapanye pesa zake ale na malaya afilisike watu wakimcheka mnaweza mkasema wanadharau masikini? Hivi leo Diamond akitumbua pesa zake akawa masikini watu wakimcheka wanadharau masikini?

Hakuna mtu anayedharau masikini, tunachoshangazwa ni kwa jinsi gani wasanii wetu wanapofanya vizuri na kuingiza milioni mia mbili au milioni mia tano hawajiwekezi badala yake wanatumia pesa kwa maisha ya anasa kwa kutafuta sifa mjini sasa tukisema hatuna cha kujifunza tunawaonea?

Hatuwadharau masikini infact mimi nina vitu vingi vya kujifunza kutoka kwa masikini wanaotafuta pesa kwa bidii bila kukata tamaa. Lakini ninaposema sina cha kujifunza kwa watu ambao wanatafuta pesa wakizipata wanazitumia hovyo halafu wanarudia ufukara wao hawa mimi sina cha kujifunza kwao and I mean it.
Mifano yako ya kina Nyerere, Mother Theresa haihusiki hapa labda kama umedhamiria kuwadhalilisha. Hivi kweli unataka kulinganisha maisha ya Nyerere ya ujamaa na umbumbumbu mzungu wa reli wa hawa wasanii ambao wakipata pesa hawasave wanaenda kufanyia ufuska bar? Yaani hawa wapuuzi ndiyo unawalinganisha maisha yao na akina Mother Theresa na Nyerere.
Mtatafuta sympathy sana we are very sorry for being extremely honesty!!!!!
 
Yesu mwenyewe alikufa ,hakuacha hata kibanda cha makuti,
itakuwa sam wa ukweli
Yesu hakuwahi kuingiza pesa nyingi kama za Sam wa ukweli. Yaani msanii avune mamilioni mia tatu mia tano, afe masikini halafu unamlinganisha na Yesu? Yesu hakuwahi kufanya biashara yoyote hata ufugaji wa kuku tu, hakuja kutafuta pesa Bali kuwatafuta waliopotea dhambini. Sam wa ukweli alikuwa anazisaka pesa aliuza muziki mamilioni kwa mamilioni leo tukisema mnasema tuna gubu sijui nini no!
 
Mafanikio yake ni:-
1.Ana mshamba alikuwa analima
2.Amejenga -Asema anaishi kwake
3.Ana miliki pira - Rav4 Kili Time
 
Hata kitendo cha wewe kumjua Tu ni mafanikio, Sam alikua Muuza matunda ilala Sokoni, imagine alipigika kiasi gani mpaka Leo wewe unaejiita msomi WA Sheria kutaka kujua achievements zake! mjifunze kua watu wa kiasi..
Mkuu hii comment ni best ever
 
Nyie ndugu zangu mna utetezi dhaifu sana na kibaya zaidi mnatafuta public sympathy that's too bad!

Nani ambaye anamdharau masikini hapa?
Hakuna anayemdharau masikini tunachotaka kukiaddress kipo wazi unfortunately wote mnazunguka mbuyu na kumung'unya maneno. Mimi naamini kuna umasikini wa kujitakia yes "umasikini wa kujitakia". Hivi leo hii Jay z atapanye pesa zake ale na malaya afilisike watu wakimcheka mnaweza mkasema wanadharau masikini? Hivi leo Diamond akitumbua pesa zake akawa masikini watu wakimcheka wanadharau masikini?

Hakuna mtu anayedharau masikini, tunachoshangazwa ni kwa jinsi gani wasanii wetu wanapofanya vizuri na kuingiza milioni mia mbili au milioni mia tano hawajiwekezi badala yake wanatumia pesa kwa maisha ya anasa kwa kutafuta sifa mjini sasa tukisema hatuna cha kujifunza tunawaonea?

Hatuwadharau masikini infact mimi nina vitu vingi vya kujifunza kutoka kwa masikini wanaotafuta pesa kwa bidii bila kukata tamaa. Lakini ninaposema sina cha kujifunza kwa watu ambao wanatafuta pesa wakizipata wanazitumia hovyo halafu wanarudia ufukara wao hawa mimi sina cha kujifunza kwao and I mean it.
Mifano yako ya kina Nyerere, Mother Theresa haihusiki hapa labda kama umedhamiria kuwadhalilisha. Hivi kweli unataka kulinganisha maisha ya Nyerere ya ujamaa na umbumbumbu mzungu wa reli wa hawa wasanii ambao wakipata pesa hawasave wanaenda kufanyia ufuska bar? Yaani hawa wapuuzi ndiyo unawalinganisha maisha yao na akina Mother Theresa na Nyerere.
Mtatafuta sympathy sana we are very sorry for being extremely honesty!!!!!
wewe aliyekwambia kuwa Sam wa ukweli "" aliwahi kupataga pesa nani ""...? mifano yangu ya nyerere na kina Theresa imekuja ili kukuonyesha kuwa ""...neno mafanikio lina mantiki pana mnooo"" sio kila anayeishi huwa anatafuta mafanikio ya kuwa na material list ...ndio sababu ya huo mfano wangu kwako ""... haya turudi kwa wasanii "" mziki ni biashara kama zilivyo biashara nyingine " kuna wakati hupata faida na hasara "" so hujajiuliza kwamba huwenda Jamaa biashara yake ya mziki "" ili filisika ndio maana " akashindwa kujijenga " .... wasanii huwa wana management pia " so kina choingia kama faida huwa hakiingii mifukoni mwao tu pekee lazima kipigwe pasu na management first "" .... hivi wajua kuwa mwaka 2009 Ben Paul alilipwa ml.1 baada ya kuuza album Yke na kugawana mapato Yke na management Yke ya M.lab """ ....""" Sam hajawahi kuwa na hela kihivyo " kama amewahi kushika pesa nyingi sidhani kama inafika hata ml.25 nanina Uhakika hajawahi kuzishika kwa pamoja ...so huwezi kutushawishi kuwa Sam alikuwa na hela kwazile nyimbo zake 3 tu ambazo ndio zilikuwa hit song ""... So ulitaka awe na maendeleo yapi kwa kupitia hzo nyimbo 3 tu"" Yaani ulitaka awe na miradi ya nguvu " na mijengo ya maana kwa zile nyimbo zake 3 tu ......kuwa serious basiiiii
 
Ni kweli jamaa hajaacha Legacy ila ndo alikuwa kwenye harakati za mafanikio and as you know celebrities wetu baadhi wakifanikiwa huwa wanajitoa for charity. hata hivyo nyimbo zake ukiziskiliza kuna jumbe ameacha ambazo zinawakilisha maisha halisi ya kitanzania mfano "Hata Kwetu Wapo"
 
kufa akiwa msanii tu "" Tayari ni legacy maana kuna vijana ambao watakuja kuwa wasanii "" kutokana na kuvutiwa na mchango wa kazi zake ""....
 
Hapana Big Sam, huyu hatuhusiani nae hata kidogo kwenye ukoo wetu.
Basi afadhali... maana nlishtuka sana.

Kassie ulishawahi kula via vya uzazi vya mbuzi dume vilivyochomwa kwa umaridadi? Ndo navipata hapa hivi sasa nikisindikiza na Hennessy... liwalo na liwe weekend hii
 
Kuna wasanii wakiwa wanatumia pesa kwenye mambo ya kijinga utakuta wanakwambia sisi hatupendi kujionyesha, Mfano Kiba watu wengi wangependa kuona anamiliki nini kutokana na umaarufu wake ili wawe inspired lakini anaficha na huenda hana cha kuwaonesha.............
Ata akipata dem mpya akwambie?....
 
Basi afadhali... maana nlishtuka sana.

Kassie ulishawahi kula via vya uzazi vya mbuzi dume vilivyochomwa kwa umaridadi? Ndo navipata hapa hivi sasa nikisindikiza na Hennessy... liwalo na liwe weekend hii

Ahahahahahahahahhaa makende ya meeeh

Hiyo kitu labda wanichanyanyie kwenye mtura aiseeeh. Ila iko siku ntaweza kuipiga kavukavu labda, mwazoni nilikuwa siwezi kula denda la ngómbe. Siku moja nikaletewa nyama imechomwa vizurii ina nyuzi nyuzi hivi kuitafuna lainii. nilipomaliza kula nikaambiwa hilo ni denda la ngómbe. Looh toka silu hiyo nikawa mdau.

Acha liwee tuu weekend hii hahahahahaha babuuu.
 
Back
Top Bottom