#COVID19 Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

Unaonekana mnyonge sana, Mimi huo ujinga hawawezi kunifanyia.
Mkuu watu wanaomiliki mfumo hufanya wayatakayo.

Wakati Sabaya akiyafanya aliyoyafanya watu walikuwepo,na wengine waliofanyiwa ni wasomi wazuri wa sheria.

Kwanini walishindwa kureact? Jibu ni kwamba Huwezi kushindana na mfumo.
 
Mkuu lengo la chanjo ni nini Sasa,
na hiyo new World Order ni nini?
 
Mkuu lengo la chanjo ni nini Sasa,
na hiyo new World Order ni nini?
Naam!

Lengo la chanjo wanajua wenye chanjo yao mkuu

Ila NEW word order Ni pale ambapo dunia itatawalika kirahisi

Kwa maana ya kwamba mtoa amri atakua Ni mmoja duniani na dunia haitakua na option zaidi ya kutekeleza amri hizo

Silazimishi mtu kuamini, lakini Kuna wanaoenda mbali zaidi na kudai kupitia teknolojia ya 5G miaka itakavyosonga hizo order za ulimwengu tutazipata kwenye screen za angani

Yan si lazima ukachek TV ama uperuzi wakat ukifika ukichek tu angani unaambiwa Nini Cha kufanya na wakulungwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji13]
 
Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe.
Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya Covid.
Je, Hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya mh.Rais
ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
Hakuna kitu kama hicho, nadhani umeamua tu kusema uongo! Taja jina la kituo hicho ili watu walifuatilie.
 
Malalamiko kama haya yako, bila kutaja jina la kituo husika, ni MAJUNGU.
 
Hawa mashetani wanataka damu ya mkeo na mwanao. Wanataka wamuue wao badala na kabla ya Korona.

Piga simu number 0734047775 uombe msaada wa haraka.
Piga simu number +255 22 211 5278 haraka sana uwaambie tatizo lako.
Piga simu number +255 762 973 419 wambie wakupe msaada wa haraka, maisha ya familia yako yako hatarini. Achana na longolongo za kisiasa na kiitikadi. Unahitaji msaada wa haraka.

 
Mwambie mke wako akachanje yupo kweny kundi ambalo ni kipaumbele hataki ajiudumie mwenyewe na ajifungulie uko uko ifike mahali mambo ya ku bembelezana yaishe ukikanyaga tu hospital unakutana na chanjo hutak ondoka full stop
Acheni upumbavu wa kuwalazimisha watu vitu wasivyoviamini kwa blackmailing. Upummbavu mtupu.
 
Bila kutoa maelezo ya kutosha ya kituo kipi cha afya, kipo kata gani , wilaya gani na mkoa gani, ni tarehe gani na saa ngapi ulinyimwa huduma. Basi ninakuona wewe ni kama mchochezi usiyevumilika!
 
Mkuu,hao watoa huduma wamekosea.

Taja jina la hiko kituo
 
Mrs. Ni mjamzito huwa Kuna taratibu za kuhudhuria kliniki .
So ile wameenda leo ,wameambiwa mpaka wachome Chanjo ya Covid, ndo wapatiwe huduma.
Sasa kuna tatizo gani hapo? Kumbuka hao waenda clinic huwa wanajazana sana na kuleta risk ya maambukizi au wewe ni mfuasi wa askofu Gwajima??
 
Nimeshangaa Director mmoja anasema wafanyakazi wasiochanja anawafuta kazi December hii
 
Ni wapi huko mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…