Nimekosa mkopo nimechaguliwa SAUT nataka kukubadilisha chuo

Nimekosa mkopo nimechaguliwa SAUT nataka kukubadilisha chuo

Joined
Jul 9, 2014
Posts
64
Reaction score
9
Nisaidien wadau me nimetoka third selection kipindi wanatoa fursa ya kuomba kubadilishiwa vyuo sisi majina yetu yalikua bado hayajatoka, sasa binafsi gharama za saut sitoziweza nataja nihamie udom utaratibu gan niufuate?
 
Kwakua muda uliotolewa na tcu umekwisha, mimi nakushauri uende moja kwa moja ktk ofisi za tcu. Pale utapata utaratibu kamili.
 
Nisaifien wadau me nimrtoka third selection kipindi wanayoa fursa ya kuomba kubadilishiwa vyuo sisi majina yetu yalikua bado haysjstoka, sasa binafsi gharama za saut sitoziweza nataja nihamie udom utaratibu gan niufuate?

We umepata MAj IBU ya transfer
 
Back
Top Bottom