chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,449
Happy New Year dearbinti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Hatujaonana
Naona umechaguliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy New Year dearbinti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Mi mwanamke akinitongoza hata kama nilikuwa nampenda upendo unakwisha kabisaNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
kabisa nimechaguliwaHappy New Year dear
Hatujaonana
Naona umechaguliwa
Kama unataka mwenye vigezo, chukua udongo umfinyange mwenyeweNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Hongera, mbona hujaja kula mbuzikabisa nimechaguliwa
nilikuja mbonaHongera, mbona hujaja kula mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo CHACHAkwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...
I wish to see u!binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Hukusemaga.. Umekuwa mparenilikuja mbona
Pole sana, mchagua Nazi......;ila jua umri unazidi kwenda kwa kuendekeza kuchagua sana. Kwa 35 KE bado hujaolewa means atakayekuoa kuanzia 35-45 sasa hao si waume za watu au wagane?, kumbuka hakuna mwanaume aliyekamilika ambaye utampata ila mambo mengine mtarekebishana taratibu kwenye ndoa cause I'm sure na ww una mapungufu vilevile kama binadam wengine. Kwa hiyo uamuzi ni wako chukua hatua kabla mambo hayajaenda kombo vinginevyo u- single utakuhusu muda si mrefu.Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Vipi kuhusu ubikra bado unayo au nayo imepotea? Maana wanaojiheshimu sana I do believe bado wanayo.sina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa