Nimekosa mwanaume 'serious'

omba san mungu ikiwezekana funga na kufunga utampata umtakae.
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.



LABDA WEWE NDIYO HAUKO SERIOUS JARIBU KUJITAZAMA KWENYE HILO KWANZA,

PILI UKIPENDA KULAUMU WENGINE HUTAJUA UNAKOSEA WAPI?

TATU KAMWE HUTAPATA MWANAUME MWENYE SIFA ZOTE UNAZOTAKA WEWE, HIVYO UTASUBIRI UTASUBIRI SANA

TAFUTA MWANAUME NA UMFANYE AWE MUME MWEMA NA SIYO KUTAFUTA MUME MWEMA KWENYE WANAUME SABABU UMRI HAUKUSUBIRI, ANGALIA SANA USIJE UKAPATA KOROMA

35 AND THE TIME STILL TICKING, 10YRS TO COME KWISHNE HABARI YAKO




 
kweli mficha uchi hawezi zaa kabisa hata kama ni kwa kupandikiza lazima uonekane tu
 
Napenda nikufahamishe wewe na wengine,kwenye dhamira ya ndoa kina tofauti nyingi saana ya dhamira za wanandoa ; 1.Wapo Wana nia ya kupata burudani ya mwili na kupata ladha tu. 2.Kwa ajili ya kujifakharisha kwa ndugu na jamaa kwamba yy ameoa /olewa na mtu wa kisawasawa,mzuri sana,Ana pesa...nk 3.Huamua kuoa/kuolewa na yoyote bila ya kuangalia sifa za msingi baada ya umri kuwa mkubwa kuwafikia. Ntaendelea kuelezea baadae tena!
.
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Endelea kungoja mamaa monopouse yaja utaanza bandika thread natafuta mbaba mtu mzima ambaye hajaoa au kama kaoa mkewe alifariki sawa.
 
binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Yaani isingekuwa huu umaskini wangu ningeshakuweka ndani!
 
Bora akupende yeye kuliko umpende ww maana utalia zaid. Vingine utajifunza taratibu mama
 
Ngoja muendelee kuchagua wanaume na kuweka mashart kibao utadhani na wewe huna kasoro siku mkileta maada za kutafuta mwanaume yeyote alie tayari ndo mtatuona sasa hivi mashart ni mengi mno mtu unataka kuolewa unauliza degree umenisomesha wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…