Nimekosa mwanaume 'serious'

Nimekosa mwanaume 'serious'

Bado hujakutana na atakaekupenda na wewe ukampenda...... Vumilia utampata tu.!
 
Hii inawezekana nikawa kati ya wale asiowapenda ngoja nisubiri wale wanaotafuta wanaume wa kuishi nao jawa wa ndoa bado
si nilikuona love connect yule dada aliekua anataka wa kuishi nae ukasema anakufaa vp au alikutolea nje
 
binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Wapo walioganya hivyo na walishia kufanya tu na kuachwa ..hata kuambiwa neno nakupenda lilikuwa hadimu sana..bora afikili kwa upya
 
si nilikuona love connect yule dada aliekua anataka wa kuishi nae ukasema anakufaa vp au alikutolea nje
Yule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.
Kuskia tu hivyo akakimbia.... nimerudi square one sasa
 
Yule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.
Kuskia tu hivyo akakimbia.... nimerudi square one sasa
[emoji28][emoji28][emoji28]umekosea ulitakiwa uwe kiromantic zaidi mambo ya ukali achana nayo ata kama ulipitia depo
 
moja kubwa jifanye unaaibu hasa pale unapoongea namwanaume na toa tabasamu, halafu pia kama unapata nafasi ya kukutana naye mfanyie vitu kama kumjali fulani mfano kumtoa kauchafu kichwani na mambo kama hayo

Expert opinion. Wasaidie wenzio
 
Miaka 35 bado unachagua tu???kama nakuona vile utakavyokuwa single mother
 
Back
Top Bottom