Miss Chaga: Napendekeza uwe matron wa wanawake humu JFkwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...
je watanilipa mkuu ?Miss Chaga: Napendekeza uwe matron wa wanawake humu JF
🙁🙁🙁Pole aseee...kaoge maji ya chumvi utoe nuksi....halafu achana na hivyo vigezo vyako...hao unaowataka wajanja tumeshawawahi[emoji16]
Hii inawezekana nikawa kati ya wale asiowapenda ngoja nisubiri wale wanaotafuta wanaume wa kuishi nao jawa wa ndoa badofursa hiyo changamkia
Njoo kwangu uone utofauti na wanaume uliowahi kuwaona maishani mwakoNinaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Haha me nilijiwahia mapema sana...Scorpio Me
We umepata multiple Choice Yako au Unasubilia Matching items?
si nilikuona love connect yule dada aliekua anataka wa kuishi nae ukasema anakufaa vp au alikutolea njeHii inawezekana nikawa kati ya wale asiowapenda ngoja nisubiri wale wanaotafuta wanaume wa kuishi nao jawa wa ndoa bado
Haa haa haa haaAchana na wanaume
njoo ule ngada ni zaidi ya penzi la mwanaume.
[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji1]
Teh teh teh teh teh....
Wapo walioganya hivyo na walishia kufanya tu na kuachwa ..hata kuambiwa neno nakupenda lilikuwa hadimu sana..bora afikili kwa upyabinti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
Isitogoze mwanaume..utaishia kufanywa tu na hata neno nakupenda hautalisikasina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa
Yea cz si kwa ushauri ule...[emoji12] [emoji12]ha hahaha nikufunde
[emoji1]Yea cz si kwa ushauri ule...[emoji12] [emoji12]
Nijibu bathiii vibaya hivyo ukijua mwenyewe [emoji85] [emoji85][emoji1]
Yule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.si nilikuona love connect yule dada aliekua anataka wa kuishi nae ukasema anakufaa vp au alikutolea nje
[emoji28][emoji28][emoji28]umekosea ulitakiwa uwe kiromantic zaidi mambo ya ukali achana nayo ata kama ulipitia depoYule alisema ninamuuliza kama namshurutisha nikamwambia nimepita depo nakumbuka amri za kamanda chacha.
Kuskia tu hivyo akakimbia.... nimerudi square one sasa
moja kubwa jifanye unaaibu hasa pale unapoongea namwanaume na toa tabasamu, halafu pia kama unapata nafasi ya kukutana naye mfanyie vitu kama kumjali fulani mfano kumtoa kauchafu kichwani na mambo kama hayo