35 ungekuwa na mtt, hilo unalosema lingewa na mashiko. Ukikuta mwanamke 35 yrz hajazaa shtuka, kwanza 25 yrz haoleki kwa sababu atataka yeye ndio awe mume ndani ya nyumba. Kuna kidada pale handeni aliolewa akiwa 36yrz. Mumewe alipata bahati ya kwenda kusoma nje USA. Lakin mdada alifanya majonjo ya kienyeji ili jamaa asiende shule. Baada siku chache jamaa akapooza upande moja wa mwili na safari ikaishia hapo hapo. Mwaka pili sasa yaani hata huduma kwa mmewe ni kazi anamnyanyasa kiaina. Ilibidi ndg wa mume waje wamchukue kaka yao.... Mwanamke alitakiwa aolewe wakati akiwa mbichi wa umri ili asione ndoa ni mzigo mzito kwake Bali aone mume ni kila kitu kwake