Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepima ujauzito,?
Kupauka mwili na mdomo|lips ni upungu wa kinga vitamin gani mwilini jinsia yangu ni MEE
Umepima ujauzito,?
Kupauka mwili na mdomo|lips ni upungu wa kinga vitamin gani mwilini jinsia yangu ni MEE
Mimi najua ni Vitamin c ,kula machungwa ya kutosha pia.
Badilisha kwanza title kaka.... andika vitamin sio vitamani. Ili watu waje humu