Nimekosea kuandika maelezo hapo, nimeandika maandamano, je inaweza kuniletea shida

Mdogo wangu kaniomba pesa kidogo anunue matumizi kujiandaa na tarehe 9, Huwenda kukawa na Curfew.

Nimemtumia Pesa kwa Njia ya Kibenki na maelezo hapo nimejisahau nimendika "MAANDAMANO"

JE INAWEZA KUNILETEA SHIDA JAMANI ??
Wakikumata ujue walikuwa wamekuweka kwenye Taget,hawana uwezo WA kufuatilia Kila kitu!
 
Shida ipo na sio kwako tu bali kila raia kuishi kama wakimbizi / waharifu kwenye nchi yao wenyewe wakati so called watumishi (waliojichagua kwa asilimia 97) ndio wanapanga nini ni sawa na sio sawa kulingana na Utashi wao wala sio Katiba...

Narudia tena kama Mtanzania niliyejivunia hili taifa langu nasikitika sana kuona lilipofikia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…