Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help

Ngoja akufie,hakuna siri.kwa umejuaje yupo partially divorced?unazini yatakukuta ya lulu shauri yako
 
sidhani kama kuna mwanaume anaenipenda nimejitahidi kuwapenda lakini mwishoni nawakuta sio am tired let me relax here
Hakuna mtu asiyependeka au kupendwa.., kama bado hajatokea haimaanishi hayupo. Anyway hata his no strings attached, open relationships zinataka moyo, na sio za kila mtu (kuna wanaoziweza na kuna wasioziweza) hivyo basi jiulize kama you are fully fulfilled, are you happy..?

Because no one should settle for second best.., if you love/ want something fight for it (it will not be handed in a silver platter).., if you are looking for a serious strong relations don't stop looking and give people chance, soon or later utapata anayekufaa (but make sure you take things slow na kumfahamu mtu kabla ya commitment) maybe unaumizwa mara nyingi because you move too fast.
 
Huyu dada anaonekana anajali sana
Ila hataki kukiri anajali ili ajifariji

Amekata tamaa ya mapenzi

Anasema hajali kuhusu familia yake wakati hapo hapo anajua ana watoto 2 na partially divorced. Contradictions tu.

Naona ameshindwa kukabiliana na heart breaks na kuamua kuishi hivi anavyoishi.

Kwa wanaoweza kumshauri, msaidieni.

mimi ai, bado una thamani sana, na kuna wanaotamani sana kuwa na wewe milele, basi tu hujapata nafasi ya kuwapata.

Pole lakini, nakuelewa!

Mpe experience basi; hata kwa PM ili umsaidie.
 
Hakuna mtu asiyependeka au kupendwa.., kama bado hajatokea haimaanishi hayupo. Anyway hata his no strings attached, open relationships zinataka moyo, na sio za kila mtu (kuna wanaoziweza na kuna wasioziweza) hivyo basi jiulize kama you are fully fulfilled, are you happy..?

Because no one should settle for second best.., if you love/ want something fight for it (it will not be handed in a silver platter).., if you are looking for a serious strong relations don't stop looking and give people chance, soon or later utapata anayekufaa (but make sure you take things slow na kumfahamu mtu kabla ya commitment) maybe unaumizwa mara nyingi because you move too fast.
i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?
 
sidhani kama kuna mwanaume anaenipenda nimejitahidi kuwapenda lakini mwishoni nawakuta sio am tired let me relax here

Wewe mwenyewe unajipenda? What are you looking in relation ambayo haina upendo (feelings) ni mitoko, sex and then what? Huyo mtu unamuaddress vipi? Mpenzi, Love or what? Hiyo sex (maana siwezi ita love making coz haiqualify) inakuwaje? Ni rahisi sana kujidanganya na hiyo no string attached but wengi tumeishia kupenda, kuwa frustuated na kuhate.

Kaa chini tulia, take your time hata years learn to love yourself, know that you deserve the best, pray kama wengine walivyoshauri; jichanganye utapata ambaye ana nafuu (remember hakuna perfect, kama ambavyo wewe sio) na yuko available. Mengine nitakushauri kwa PM.
 
i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?

Usitafute! ishi tu maisha yako. Tunavyotafuta ndipo tunapopata vibovu! Coz tunakuwa desparate when looking. By the way, how old are you?
 
wewe mwenyewe unajipenda? What are you looking in relation ambayo haina upendo (feelings) ni mitoko, sex and then what? Huyo mtu unamuaddress vipi? Mpenzi, love or what? Hiyo sex (maana siwezi ita love making coz haiqualify) inakuwaje? Ni rahisi sana kujidanganya na hiyo no string attached but wengi tumeishia kupenda, kuwa frustuated na kuhate.

Kaa chini tulia, take your time hata years learn to love yourself, know that you deserve the best, pray kama wengine walivyoshauri; jichanganye utapata ambaye ana nafuu (remember hakuna perfect, kama ambavyo wewe sio) na yuko available. Mengine nitakushauri kwa pm.
mi najipenda sana ,na nimetulia sana sijui kwa nini mabaya yananipata jamani
 
usitafute! Ishi tu maisha yako. Tunavyotafuta ndipo tunapopata vibovu! Coz tunakuwa desparate when looking. By the way, how old are you?
sitafuti ndo ivo wanakuja tu wabovu .nifanyeje?
 
i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?
Maybe hapo ndio kuna tatizo.., maybe una-move too fast, labda kama ungetake your time na kuwasoma hao watu huenda usingekuwa na relationship nao hata mmoja..,

Kama kweli unampenda huyu wa sasa go through proper channels muwe pamoja.., kama humpendi na unataka good times peke yake (tafuta mwingine ambae anataka same kind of relationship)..,

kama unataka mtu ila haujapata unayemtaka endelea kutafuta.., lakini ukidhani umempata take your time.... (sio kumkubali haraka haraka na kumpa moyo wako)

FID Q FT MATONYA-USINIKUBALI HARAKA - YouTube
 
Candidates wa SH tuko wengi eeh! LOL

kwani we ni candidate?
nilifikiri ushachaguliwa? lol...

Do not take life too seriously - you will never get out of it alive. Elbert Hubbard
 
kwani we ni candidate?
nilifikiri ushachaguliwa? lol...

Do not take life too seriously - you will never get out of it alive. Elbert Hubbard

Jamani kwani sisi haturuhusiwi kuwa na SH (vidumu), hujui kuwa nanyi huwa tunawaita SH? LOL
Mshauri mdada wa watu, usitake advantage ya situation yake bwana!
 
huyu nitakaa nae kwa siri tu ni kama nimetulia still nipo available au?

Unajua nini? I think you know what you want!
Nani kakwambia kuna siri ya uhusiano wowote? Hata kama mtu mwingine yuko interested with you (say a good serious single guy) huoni kwamba atakuchunguza kwanza? Na akilearn kuwa unatoka na mume wa mtu; depends on jinsi alivyokuwa attracted na wewe, huenda naye akawa anatafuta perfect lady; kwa case hii unaweza kosa mtu. (kujizibia riziki kama mmoja alivyocomment huko mwanzo).
 
Back
Top Bottom