wadada mkiwa hivi mbona raha...
Hakuna mtu asiyependeka au kupendwa.., kama bado hajatokea haimaanishi hayupo. Anyway hata his no strings attached, open relationships zinataka moyo, na sio za kila mtu (kuna wanaoziweza na kuna wasioziweza) hivyo basi jiulize kama you are fully fulfilled, are you happy..?sidhani kama kuna mwanaume anaenipenda nimejitahidi kuwapenda lakini mwishoni nawakuta sio am tired let me relax here
Huyu dada anaonekana anajali sana
Ila hataki kukiri anajali ili ajifariji
Amekata tamaa ya mapenzi
Anasema hajali kuhusu familia yake wakati hapo hapo anajua ana watoto 2 na partially divorced. Contradictions tu.
Naona ameshindwa kukabiliana na heart breaks na kuamua kuishi hivi anavyoishi.
Kwa wanaoweza kumshauri, msaidieni.
mimi ai, bado una thamani sana, na kuna wanaotamani sana kuwa na wewe milele, basi tu hujapata nafasi ya kuwapata.
Pole lakini, nakuelewa!
i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?Hakuna mtu asiyependeka au kupendwa.., kama bado hajatokea haimaanishi hayupo. Anyway hata his no strings attached, open relationships zinataka moyo, na sio za kila mtu (kuna wanaoziweza na kuna wasioziweza) hivyo basi jiulize kama you are fully fulfilled, are you happy..?
Because no one should settle for second best.., if you love/ want something fight for it (it will not be handed in a silver platter).., if you are looking for a serious strong relations don't stop looking and give people chance, soon or later utapata anayekufaa (but make sure you take things slow na kumfahamu mtu kabla ya commitment) maybe unaumizwa mara nyingi because you move too fast.
sidhani kama kuna mwanaume anaenipenda nimejitahidi kuwapenda lakini mwishoni nawakuta sio am tired let me relax here
How old are you?if yo don't mind.let say 20-25,25-29,15-20i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?
i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?
mi najipenda sana ,na nimetulia sana sijui kwa nini mabaya yananipata jamaniwewe mwenyewe unajipenda? What are you looking in relation ambayo haina upendo (feelings) ni mitoko, sex and then what? Huyo mtu unamuaddress vipi? Mpenzi, love or what? Hiyo sex (maana siwezi ita love making coz haiqualify) inakuwaje? Ni rahisi sana kujidanganya na hiyo no string attached but wengi tumeishia kupenda, kuwa frustuated na kuhate.
Kaa chini tulia, take your time hata years learn to love yourself, know that you deserve the best, pray kama wengine walivyoshauri; jichanganye utapata ambaye ana nafuu (remember hakuna perfect, kama ambavyo wewe sio) na yuko available. Mengine nitakushauri kwa pm.
sitafuti ndo ivo wanakuja tu wabovu .nifanyeje?usitafute! Ishi tu maisha yako. Tunavyotafuta ndipo tunapopata vibovu! Coz tunakuwa desparate when looking. By the way, how old are you?
Maybe hapo ndio kuna tatizo.., maybe una-move too fast, labda kama ungetake your time na kuwasoma hao watu huenda usingekuwa na relationship nao hata mmoja..,i wish ungenielewa till now nimekuwa na mahusiano na wanaume 5 unataka kusema sijajaribu vya kutosha?
Candidates wa SH tuko wengi eeh! LOL
kwani we ni candidate?
nilifikiri ushachaguliwa? lol...
Do not take life too seriously - you will never get out of it alive. Elbert Hubbard
sitafuti ndo ivo wanakuja tu wabovu .nifanyeje?
Kila abishae Hodi sio kwamba Anafunguliwa.....sitafuti ndo ivo wanakuja tu wabovu .nifanyeje?
huyu nitakaa nae kwa siri tu ni kama nimetulia still nipo available au?wachomolee na utulie mwenyewe kwanza!
huwezi jua yupi wa kufungulia na yupi sio rafiki its soo hard to knowkila abishae hodi sio kwamba anafunguliwa.....
huyu nitakaa nae kwa siri tu ni kama nimetulia still nipo available au?