Naomba nionyeshe kukoshwa kwangu na muonekano wa Rais wa Kenya, Mhe Uhuru Muigai Kenyatta, wakati alipokuja kwa ziara ya kuitembelea Tanzania. Sina zaidi ya kusema ila kwa wale waliobahatika kuona wakati wa kuwasili kwake na uwepo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu alitoa taswira ya mtu amvaye "simple" na asiye na makuu.