Usijidanganye, unachopaswa kufahamu ni kwamba Wakenya wanadharau sana Tanzania hilo liko wazi, kwa Wakenya Tanzania ni kama Mombasa au Pwani na Wakenya wa ,,rest of Kenya“ wanawadharau watu wa Mombasa kwamba ni wavivu, wako slow wana mentality nyingine hivyo Uhuru Kenyata kuja Tanzania ni kama anakwenda Mombasa hivyo washauri wake wamemshauri jinsi ya kuwa anavyokuwa na ,,watu wa Pwani“ ambao ndio sisi ingawaje wewe unaona kama ni heshima lkn ukiangalia kwa ndani kabisa ni kejeli.
Utaona tofauti akienda Rwanda au hata Uganda.
Hivyo utambue hilo kwanza kabla ya kusifu.