Kwamba wakenya wanaichukulia Tanzania kama ChatoUsijidanganye, unachopaswa kufahamu I kwamba Wakenya wanadharau sana Tanzania hilo liko wazi, kwa Wakenya Tanzania ni kama Mombasa au Pwani na Wakenya wa ,,rest of Kenya“ wanawadharau watu wa Mombasa, hivyo Uhuru Kenyata kuja Tanzania ni kama anakwenda Mombasa hivyo washauri wake wamemshauri jinsi ya kuwa anavyokuwa na watu wa Pwani.
Utaona tofauti akienda Rwanda au hata Uganda.
Hivyo utambue hilo kwanza kabla ya kusifu.
Kwamba wakenya wanaichukulia Tanzania kama Chato
Usijidanganye, unachopaswa kufahamu ni kwamba Wakenya wanadharau sana Tanzania hilo liko wazi, kwa Wakenya Tanzania ni kama Mombasa au Pwani na Wakenya wa ,,rest of Kenya“ wanawadharau watu wa Mombasa kwamba ni wavivu, wako slow wana mentality nyingine hivyo Uhuru Kenyata kuja Tanzania ni kama anakwenda Mombasa hivyo washauri wake wamemshauri jinsi ya kuwa anavyokuwa na ,,watu wa Pwani“ ambao ndio sisi ingawaje wewe unaona kama ni heshima lkn ukiangalia kwa ndani kabisa ni kejeli.
Utaona tofauti akienda Rwanda au hata Uganda.
Hivyo utambue hilo kwanza kabla ya kusifu.
Uko sahihiSijatazama ila sidhani kama unapoingia kwa jirani pana uhitaji wa mbwembwe nyingi....
Labda walitaka Uhuru aje hivi. 😄Hehehe nimecheka sana, ila wanaume wa Tanzania mnapaswa kutunukiwa nishani ya ulalamikaji, mnapenda kulialia kwenye chochote, sasa Museveni ambaye hakuja kabisa mtamsema vipi.
Kwa kifupi ulitaka Uhuru aje kivipi labda, avae mavazi yapi.
Labda walitaka Uhuru aje hivi.
Kuweni Na adabu Na nchi iliyoipigania nusu ya Afrika uhuruHehehe nimecheka sana, ila wanaume wa Tanzania mnapaswa kutunukiwa nishani ya ulalamikaji, mnapenda kulialia kwenye chochote, sasa Museveni ambaye hakuja kabisa mtamsema vipi.
Kwa kifupi ulitaka Uhuru aje kivipi labda, avae mavazi yapi.
Unaomba omba nini? Nyie huwa mnapenda kuomba sana Watanzania. Inaonekana mumeokoka sana? 🤣Naomba nionyeshe kukoshwa kwangu na muonekano wa Rais wa Kenya, Mhe Uhuru Muigai Kenyatta, wakati alipokuja kwa ziara ya kuitembelea Tanzania. Sina zaidi ya kusema ila kwa wale waliobahatika kuona wakati wa kuwasili kwake na uwepo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu alitoa taswira ya mtu amvaye "simple" na asiye na makuu.
Uongo.Usijidanganye, unachopaswa kufahamu ni kwamba Wakenya wanadharau sana Tanzania hilo liko wazi, kwa Wakenya Tanzania ni kama Mombasa au Pwani na Wakenya wa ,,rest of Kenya“ wanawadharau watu wa Mombasa kwamba ni wavivu, wako slow wana mentality nyingine hivyo Uhuru Kenyata kuja Tanzania ni kama anakwenda Mombasa hivyo washauri wake wamemshauri jinsi ya kuwa anavyokuwa na ,,watu wa Pwani“ ambao ndio sisi ingawaje wewe unaona kama ni heshima lkn ukiangalia kwa ndani kabisa ni kejeli.
Utaona tofauti akienda Rwanda au hata Uganda.
Hivyo utambue hilo kwanza kabla ya kusifu.
Ingia kwa forums zao pia au tweeter zao uone anavyo simangwaHapendi makuu, vijana wa Kenya wanamkubali.
Vijana wapi wa Kenya wanaomkubali?Hapendi makuu, vijana wa Kenya wanamkubali.
Wenae mbona unaongea uharo, unawezaje kumdharau anaekufanya uende chooni? Kama wanadharau wagomee chakulaUsijidanganye, unachopaswa kufahamu ni kwamba Wakenya wanadharau sana Tanzania hilo liko wazi, kwa Wakenya Tanzania ni kama Mombasa au Pwani na Wakenya wa ,,rest of Kenya“ wanawadharau watu wa Mombasa kwamba ni wavivu, wako slow wana mentality nyingine hivyo Uhuru Kenyata kuja Tanzania ni kama anakwenda Mombasa hivyo washauri wake wamemshauri jinsi ya kuwa anavyokuwa na ,,watu wa Pwani“ ambao ndio sisi ingawaje wewe unaona kama ni heshima lkn ukiangalia kwa ndani kabisa ni kejeli.
Utaona tofauti akienda Rwanda au hata Uganda.
Hivyo utambue hilo kwanza kabla ya kusifu.
Zinaitwaje forums zao?Ingia kwa forums zao pia au tweeter zao uone anavyo simangwa