Miss Parliament
Senior Member
- Jun 27, 2011
- 107
- 48
Karibu sana mama makinda.
nilivyoòna hyo parliament nikamkumbuka binti kiroboto. Dah, kumbe sio wewe.Asante mummy.ila hah!Mama makinda?hapana hauko sahihi
mh...karibu sana...unatumia kinywaji gani
Hahahaha! hii spidi hata Hamilton wa F1 haoni ndani lol!Kwani wewe ni singer??/artist?? nimekuzimikia Miss...
Huogopi mshipa! ohooo. by the way karibu sana miss mjengoni.Juisi ya madafu,he he.Asante
Juisi ya madafu,he he.Asante
Wakuu wa JF,
Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani
hahahaaa.nimekukumataa,Umeolewa?
kama bado na mimi niko single we can make a good couple,...
i promise you,hauta regret kua na mimi,...please miss,....
mmmh,ila sina hela kabisaaa