Nimekua nikipata muwasho kwenye mapaja baada ya kuvua suruali

Nimekua nikipata muwasho kwenye mapaja baada ya kuvua suruali

Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.

Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.

Msaada tafadhali [emoji17][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguo inakubana sanaaa, damu inashindwa kufanya mzunguko na kuruhusu mwili kupumua. Acha kuvaa nguo za kubana. Utatumia madawa yote mpaka mwili uwe wa pink bila mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.

Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna natokewa na vipele kama vile vya kung’atwa na mbu. Nimetumia dawa aina ya SONADEM lakini naona tatizo bado linaendelea.

Msaada tafadhali [emoji17][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsia yako tafadhali...
 
Back
Top Bottom