skills man
Member
- Nov 10, 2024
- 89
- 236
Hongera sana kwa kukuwa mkuuNimeamua kuachana na nyeto , mademu ,kamali ,makundi, mitandao na show off sasa nimetimizq miaka 24 nishakua mkubwa
Mungu akipenda mwakani nioe maana kazi ninavyo serikalini Nina nyumba but ya Baba nikue sasa
Dogo hapo kwenye kuoa subiri kwanzaNimeamua kuachana na nyeto , mademu ,kamali ,makundi, mitandao na show off sasa nimetimizq miaka 24 nishakua mkubwa
Mungu akipenda mwakani nioe maana kazi ninayo serikalini
Nambie kwa niniDogo hapo kwenye kuoa subiri kwanza
AsanteHongera sana kwa kukuwa mkuu
Nyumba ya baba ipoKama unazungumzia ndoa bado haujakuwa!, kisayansi tunasema equation imejing'ata!.
Miaka 25 bado mdogo...subiri kidogo hadi 28 au 30. Furahia kwanza ujana wako..ukiwa umeacha hizo tabia ulizosema umeacha.Nambie kwa nini
SawaMiaka 25 bado mdogo...subiri kidogo hadi 28 au 30. Furahia kwanza ujana wako..ukiwa umeacha hizo tabia ulizosema umeacha.
AsanteKila lenye heri
Zingatia huu ushauri. UsikurupukeSawa
🙏Zingatia huu ushauri. Usikurupuke
KamaBado hujakuwa vizuri endelea kutia mbwembwe kitaani