Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kama uko serious nikupongeze, na usirudi nyuma kwa gharama yoyote ileNimeamua kuachana na nyeto , mademu ,kamali ,makundi, mitandao na show off sasa nimetimizq miaka 24 nishakua mkubwa
Mungu akipenda mwakani nioe maana kazi ninayo serikalini