Nimekua sasa

Nimeamua kuachana na nyeto , mademu ,kamali ,makundi, mitandao na show off sasa nimetimizq miaka 24 nishakua mkubwa
Mungu akipenda mwakani nioe maana kazi ninayo serikalini
Kama uko serious nikupongeze, na usirudi nyuma kwa gharama yoyote ile
 
Ulionja asali enh..... Na bado upo mwanzo wa mto haujavuka. Naambiwa kipato husisimua yaliyomo ndani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…