Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Kenya jangwani mfyuuu!hahaha...tanzania msituni dah!
Kwa nn ukisie wakat gar yako kuna dashbord inayosoma kilometa?Tatizo unasoma kwa mihemko hadi unakosa kuwa makini ili uelewe nimesema nini. Rudia vizuri nilichoandika utaelewa.
Nimetumia neno 'nakisia'
Halafu nimesema nakisia nusu yake, hivyo sikusema vumbi limeanzia wapi.
Ukianza hapo Manyoni, unakwenda kwa lami, kunazo signs pembeni zinazokuonyesha Tabora ni KM ngapi. Unatiririka kwa raha zako maana lami yenyewe tamu, hadi ghafla unazinduliwa kutoka usingizini maana mnaingia kwenye sehemu ya murram na vumbi.
Sasa hapo kwa murram inabidi kukisia maana hakuna hizo signs za kuonyesha umbali, baada ya kusafiri kwa muda hadi kukata tamaa kwamba hamna lami tena, ndio hatimaye ghafla unaunga kwenye lami na kupiga kilomita kadhaa hadi Tabora.
Halafu huko mnanitajia Mwanza na kwengine sijui mnataja vya nini maana sijaongea kuvihusu. Mbona kutokea Dar-Dodoma-Manyoni pako freshi tu hadi nililala bila matatizo.
Hehehe halafu hilo la majungu sijui umelitoa wapi .... Mwangaluka
Tabora - Nzega = 110kmTabora Mwanza kuna 278km na hakuna vumbi ni lami kwenda mbele
Hata barabara hii anayo zungumzia yeye
Ipo inajengwa
acha ungese na weweWewe ni dereva wa basi kumbe? Au ni lorry hilo
Na biashara gani unaenda kufanya Tabora? Umelipa kodi stahiki?
Umeingia Tanzania kihalali? Do you have all papers?
Unafahamu kuna mkoa wa Katavi ambao practically "haujaunganishwa" na mikoa mingine kwa maana ya kuwana miundombinu ya uhakika?Sehemu pekee iliyo baki nyuma ni Hili eneo
yaani hii mikoa ya Magharibi
kigoma na Tabora
lakini kwa sasa kazi inaendelea,
Hiyo barabara ina mkandarasi tayari
Hata kenya kuna barabara bado zina vumbi
Wewe huijui kigoma kabisa ukae kimya. Kankonko kasulu zaidi ya km200 ina lami au mkandarasi? Urambo nguruka na mpeta uvinza kuna lami? Kuna mkandarasi? Usipende kuamsha hasira za tu na nyumbani kwao. Miaka 50 vumbi tupiSehemu pekee iliyo baki nyuma ni Hili eneo
yaani hii mikoa ya Magharibi
kigoma na Tabora
lakini kwa sasa kazi inaendelea,
Hiyo barabara ina mkandarasi tayari
Hata kenya kuna barabara bado zina vumbi
Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????Tatizo unasoma kwa mihemko hadi unakosa kuwa makini ili uelewe nimesema nini. Rudia vizuri nilichoandika utaelewa.
Nimetumia neno 'nakisia'
Halafu nimesema nakisia nusu yake, hivyo sikusema vumbi limeanzia wapi.
Ukianza hapo Manyoni, unakwenda kwa lami, kunazo signs pembeni zinazokuonyesha Tabora ni KM ngapi. Unatiririka kwa raha zako maana lami yenyewe tamu, hadi ghafla unazinduliwa kutoka usingizini maana mnaingia kwenye sehemu ya murram na vumbi.
Sasa hapo kwa murram inabidi kukisia maana hakuna hizo signs za kuonyesha umbali, baada ya kusafiri kwa muda hadi kukata tamaa kwamba hamna lami tena, ndio hatimaye ghafla unaunga kwenye lami na kupiga kilomita kadhaa hadi Tabora.
Halafu huko mnanitajia Mwanza na kwengine sijui mnataja vya nini maana sijaongea kuvihusu. Mbona kutokea Dar-Dodoma-Manyoni pako freshi tu hadi nililala bila matatizo.
Hehehe halafu hilo la majungu sijui umelitoa wapi .... Mwangaluka
Huku hakuna ukabila kama kwenu,KenyaNdio maana nikasema kwenye title yangu kwamba Afrika tusichekane, najua kuna maeneo Kenya yenye barabara ya vumbi hususan kaskazini ambapo kuna watu wachache huko. Japo hiyo yenu niliona kama ni 'National Trunk Road' au type B. Sidhani kama Kenya tuna type A, B na C ambazo bado ni murram, I stand to be corrected.
Nilikua najua ile ya Kitale-Lokichar lakini imeshughulikiwa kwa ajili ya mafuta ya Turkana.
Anyway tutafika tu.
Kakonko alie itaja hapa nani!!?Wewe huijui kigoma kabisa ukae kimya. Kankonko kasulu zaidi ya km200 ina lami au mkandarasi? Urambo nguruka na mpeta uvinza kuna lami? Kuna mkandarasi? Usipende kuamsha hasira za tu na nyumbani kwao. Miaka 50 vumbi tupi
kumbe wewe ni dereva wa fuso?
Huo mkoa unaunganishwaUnafahamu kuna mkoa wa Katavi ambao practically "haujaunganishwa" na mikoa mingine kwa maana ya kuwana miundombinu ya uhakika?