Nimekua Tabora, pazuri ila nimelishwa vumbi, Afrika tusichekane

Nimekua Tabora, pazuri ila nimelishwa vumbi, Afrika tusichekane

Manyoni tabora kupitia itigi ni kilometa 254 kama sijakosea,,unatembea kwenye lami then unakutananna vumbi kilometa 80 then unakuta lami tena unaingia kigwa then unamalizia tabora.. Sio kilometa 150 vumbi mkuu,ni 80 pekee
 
Tatizo unasoma kwa mihemko hadi unakosa kuwa makini ili uelewe nimesema nini. Rudia vizuri nilichoandika utaelewa.
Nimetumia neno 'nakisia'
Halafu nimesema nakisia nusu yake, hivyo sikusema vumbi limeanzia wapi.
Ukianza hapo Manyoni, unakwenda kwa lami, kunazo signs pembeni zinazokuonyesha Tabora ni KM ngapi. Unatiririka kwa raha zako maana lami yenyewe tamu, hadi ghafla unazinduliwa kutoka usingizini maana mnaingia kwenye sehemu ya murram na vumbi.
Sasa hapo kwa murram inabidi kukisia maana hakuna hizo signs za kuonyesha umbali, baada ya kusafiri kwa muda hadi kukata tamaa kwamba hamna lami tena, ndio hatimaye ghafla unaunga kwenye lami na kupiga kilomita kadhaa hadi Tabora.
Halafu huko mnanitajia Mwanza na kwengine sijui mnataja vya nini maana sijaongea kuvihusu. Mbona kutokea Dar-Dodoma-Manyoni pako freshi tu hadi nililala bila matatizo.
Hehehe halafu hilo la majungu sijui umelitoa wapi .... Mwangaluka
Kwa nn ukisie wakat gar yako kuna dashbord inayosoma kilometa?
 
Bora umepita leo kuna lami kidogo. Miaka kadhaa nilipita hiyo barabara ikiwa yote haina lami. Njia nzima kuna mapori ni sehemu chache tu kuna makazi ya watu.

Kwa Tanzania hii sehemu nilizopita sikupenda kabisa hicho kipande.
 
Wewe ni dereva wa basi kumbe? Au ni lorry hilo
Na biashara gani unaenda kufanya Tabora? Umelipa kodi stahiki?
Umeingia Tanzania kihalali? Do you have all papers?
acha ungese na wewe
 
Sehemu pekee iliyo baki nyuma ni Hili eneo
yaani hii mikoa ya Magharibi
kigoma na Tabora
lakini kwa sasa kazi inaendelea,
Hiyo barabara ina mkandarasi tayari
Hata kenya kuna barabara bado zina vumbi
Unafahamu kuna mkoa wa Katavi ambao practically "haujaunganishwa" na mikoa mingine kwa maana ya kuwana miundombinu ya uhakika?
 
Sehemu pekee iliyo baki nyuma ni Hili eneo
yaani hii mikoa ya Magharibi
kigoma na Tabora
lakini kwa sasa kazi inaendelea,
Hiyo barabara ina mkandarasi tayari
Hata kenya kuna barabara bado zina vumbi
Wewe huijui kigoma kabisa ukae kimya. Kankonko kasulu zaidi ya km200 ina lami au mkandarasi? Urambo nguruka na mpeta uvinza kuna lami? Kuna mkandarasi? Usipende kuamsha hasira za tu na nyumbani kwao. Miaka 50 vumbi tupi
 
Tatizo unasoma kwa mihemko hadi unakosa kuwa makini ili uelewe nimesema nini. Rudia vizuri nilichoandika utaelewa.
Nimetumia neno 'nakisia'
Halafu nimesema nakisia nusu yake, hivyo sikusema vumbi limeanzia wapi.
Ukianza hapo Manyoni, unakwenda kwa lami, kunazo signs pembeni zinazokuonyesha Tabora ni KM ngapi. Unatiririka kwa raha zako maana lami yenyewe tamu, hadi ghafla unazinduliwa kutoka usingizini maana mnaingia kwenye sehemu ya murram na vumbi.
Sasa hapo kwa murram inabidi kukisia maana hakuna hizo signs za kuonyesha umbali, baada ya kusafiri kwa muda hadi kukata tamaa kwamba hamna lami tena, ndio hatimaye ghafla unaunga kwenye lami na kupiga kilomita kadhaa hadi Tabora.
Halafu huko mnanitajia Mwanza na kwengine sijui mnataja vya nini maana sijaongea kuvihusu. Mbona kutokea Dar-Dodoma-Manyoni pako freshi tu hadi nililala bila matatizo.
Hehehe halafu hilo la majungu sijui umelitoa wapi .... Mwangaluka
Tunauliza hivi mbona leo umekuwa mstaarabu??? Lazima uufyate kwa sababu barabara ya Nairobi-Nakuru ina lami ya zamani na mashimo kibao, niliwahi fika huko nikalala pale Bontana Hotel, Nakuru padogo vipi unalinganishaje Nakuru na Tabora????
 
Ndio maana nikasema kwenye title yangu kwamba Afrika tusichekane, najua kuna maeneo Kenya yenye barabara ya vumbi hususan kaskazini ambapo kuna watu wachache huko. Japo hiyo yenu niliona kama ni 'National Trunk Road' au type B. Sidhani kama Kenya tuna type A, B na C ambazo bado ni murram, I stand to be corrected.
Nilikua najua ile ya Kitale-Lokichar lakini imeshughulikiwa kwa ajili ya mafuta ya Turkana.

Anyway tutafika tu.
Huku hakuna ukabila kama kwenu,Kenya
 
MK254 hujafanya utalii wa kupanda baiskeli, ulipo kuwa Tabora?

Wamama pale wanaendesha baiskeli mpaka basi, halafu kwa kasi kweli kweli. Japo kuna sehemu wanaita Isevia, pale bana... Najua WanaTabora waliopo humu JF wakisikia hilo jina Isevia watanielewa.
 
Wewe huijui kigoma kabisa ukae kimya. Kankonko kasulu zaidi ya km200 ina lami au mkandarasi? Urambo nguruka na mpeta uvinza kuna lami? Kuna mkandarasi? Usipende kuamsha hasira za tu na nyumbani kwao. Miaka 50 vumbi tupi
Kakonko alie itaja hapa nani!!?
Huna akili umekalia kukurupuka!!
unamiaka mingapi hutembei!!
Kutoka urambo kwenda Nguruka kuna vipisi vidogo vidogo 2 visivyo zidi 30km kila kimoja,
Unatoka Tabora -Urambo 91km ni Lami hugusi vumbi
Urambo-Kaliua 30km Barabara inamkandarasi anajenga
Kaliua(Igagala hapa ni Igagala namba, 12,2,mpaka mwisho namba 9na kumi 50km ni lami
kipande cha Usinge-kama 20km ndio bado kinavumbi
Unakutana na lami.
Kakonko Sio njia tunayo izungumzia hapa
hiyo ni Kasulu
 
kumbe wewe ni dereva wa fuso?

Hehehe Si wewe Miss Natafuta kwenye uzi sehemu ulisema unapenda midume tough tough, hivi unawajua madereva wa Fuso walivyo, akitunisha misuli unakimbia.
Anyway ukiangalia hiyo picha nimepiga nikiwa kwenye kiti nyuma ya dereva wa bus, ningekua dereva basi ningepigia kwenye dashboard, halafu binafsi siwezi kuendesha gari kwa muda mrefu, nitasinzia. Nairobi hadi Dar inabidi tuwe madereva wawili.
 
Unafahamu kuna mkoa wa Katavi ambao practically "haujaunganishwa" na mikoa mingine kwa maana ya kuwana miundombinu ya uhakika?
Huo mkoa unaunganishwa
kwanza barabara inakalibia kukamilika
Mpanda-Sumbawanga
Inayo fuata ni Mpanda-Tabora kupitia Sikonge
pia ni Mpanda -Uvinza
hizi zote zipo kwenye Mpango huo
 
Back
Top Bottom