Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Haeleweki kweli itakua bahaba yamemzidiaUmeandika nini? Hata haueleweki.
Haeleweki kweli itakua bahaba yamemzidia
Wote kabisa hatujaelewaHa ha kumbe si mimi mwenyewe sijaelewa.
Kabisa mkuuSijawahi bahatika kuona shabiki wa diamond/wasafi ana akili yaani hua nakutana na uozo mtupu, ukienda kweny uchambuzi wa mambo ni zeroo kabisa.
Mleta maada unaweza kutuondolea huu Upupu otherwise unajichora uwezo wako mdogo wa kufikiri.
itakuwa kaonja mofayaUmeandika nini? Hata haueleweki.
Hapo sasaMtu anafanya show mtwara,mwengine kahama,mwengine Dar sasa hapo shida iko wapi?,bora ingekuwa ni mkoa mmoja useme watagombania viingilio.
Hapo ndo mtu unakaa unawaza,baadhi ya watu huwa hawatumii akili kabisa..ushindani uko wapi hapo,ikiwa kila mtu anafanya sehemu tofauti??Mtu anafanya show mtwara,mwengine kahama,mwengine Dar sasa hapo shida iko wapi?,bora ingekuwa ni mkoa mmoja useme watagombania viingilio.
Mo faya AngelUmeandika nini? Hata haueleweki.
Kwani we ujaelewa nini....Naona unawashwa tu na upupu jikune kwanza ndio usome tena utaelewa mbona Iko simpo tu inaelewekaSijawahi bahatika kuona shabiki wa diamond/wasafi ana akili yaani hua nakutana na uozo mtupu, ukienda kweny uchambuzi wa mambo ni zeroo kabisa.
Mleta maada unaweza kutuondolea huu Upupu otherwise unajichora uwezo wako mdogo wa kufikiri.