Nimekubali Diamond Platinumz anawaendesha mbio wengi tu.

Nimekubali Diamond Platinumz anawaendesha mbio wengi tu.

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Baada ya Diamond kutangaza show ya Wasafi Festival 24/11/2018 huko Mtwara mara nao Tigo Fiesta wakaeka show yao siku hiyo hiyo.
Sasa na hii tena Ali kiba nae kufanya show yake tarehe 24/11/2018 Kahama.
Sasa hapa ndo utajua kuwa huyu Bwana Mdogo Nasib anawapelekesha wengi tu .
Diamond ni sayari nyengine
#wasafifestival
#mchezousiUchezeeWee
#Kabiiiisaaaaaa
Screenshot_2018-11-20-09-30-11.jpeg
 
Hivi Alikiba bado anafanya muziki,nkajua kastaafu na kuhamia sokani!!!
 
Mtu anafanya show mtwara,mwengine kahama,mwengine Dar sasa hapo shida iko wapi?,bora ingekuwa ni mkoa mmoja useme watagombania viingilio.
 
Sijawahi bahatika kuona shabiki wa diamond/wasafi ana akili yaani hua nakutana na uozo mtupu, ukienda kweny uchambuzi wa mambo ni zeroo kabisa.

Mleta maada unaweza kutuondolea huu Upupu otherwise unajichora uwezo wako mdogo wa kufikiri.
 
Kabisa mkuu
 
Mtu anafanya show mtwara,mwengine kahama,mwengine Dar sasa hapo shida iko wapi?,bora ingekuwa ni mkoa mmoja useme watagombania viingilio.
Hapo ndo mtu unakaa unawaza,baadhi ya watu huwa hawatumii akili kabisa..ushindani uko wapi hapo,ikiwa kila mtu anafanya sehemu tofauti??
 
Sijawahi bahatika kuona shabiki wa diamond/wasafi ana akili yaani hua nakutana na uozo mtupu, ukienda kweny uchambuzi wa mambo ni zeroo kabisa.

Mleta maada unaweza kutuondolea huu Upupu otherwise unajichora uwezo wako mdogo wa kufikiri.
Kwani we ujaelewa nini....Naona unawashwa tu na upupu jikune kwanza ndio usome tena utaelewa mbona Iko simpo tu inaeleweka
 
Wasafi festival Dar es salaam
Tigo fiesta Mtwara
Mofaya Kahama

Mleta mada ulitaka tigo wabadili ratiba yao kisa wasafi festival ili wasionekane wanashindan na wcb?
AU ulitaka wasanii wengine km alikiba wasifanye kaz zao siku hiyo kisa kuipisha wasafi festival?

Lakini...wakazi wa mtwara kweny fiesta, na kahama kweny mofaya walitakiwa kusafiri had dar kwny wcb festival??? au nao wanapaswa kupata burudani wakiwa makwao km kawaida??
 
Nani alikwambia sisi wakazi wa kahama tuna kuja ntwara ama daslam, huoni tumetendewa haki nasisi tuburudike
 
Back
Top Bottom