Unataka tukushauri umbake? Hapana hatuwezi kutoa ushauri kama huo.Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.
Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha hilo kuwa kweli ni bikra.
Hajawahi kunambia ananipenda lakini mimi nilishamweleza hisia zangu na anajua nampenda ila huwa sipati mrejesho mzuri kutoka kwake hajawahi kunionesha mapenzi kama nayomuonesha mimi kwa kifupi mimi ndie namuonesha nimempenda sana.
Yeye huwa ananistukiza tu nakutaka niwe nae faragha gafla na baada ya kuwa nae anarudi kuwa vilevile hana time namimi lakini kwangu mimi ndio anazidi kunifanya nimpende. Naomba kuuliiza tabia yake hii inatokana na nini.
Ni Binti ninayeishi nae nyumba moja ya kupanga. Alishanambia kama mara tatu niwe nae faragha kwasababu kuna jambo huwa nalifanya analipenda ukiacha kuingiza dudu. Nikiwa nae tunaenjoy tukimaliza anarudi vilevile mikausho mikali na kunambia nikae nae mbali mara hanipendi hataki kuwa na mm hajawahi kunipenda sasa najiuliza sana kwanini ananiambia niwe nae faragha naombeni ushauri huyu binti ana nini maana nateseka mimi na mahisia yangu. Nimempenda sana.
Mkuu uwe tu na uvumiliv ila anakupenda anataka ajuwe atention yako,,, endelea kumbemneleza tu ipo sik utamula,, kubwa mjali kile atakacho na uwe nae mara Kwa mara,, mwambie makusud yako ni nn kwake hasa upatapo mda wa kuwa nae,,,, muonyeshe unampenda na kumjali,, mwambie hutaki kumtoa bkra Kwa nguvu na kumuumiza,, mweleze unavyojisikia kwake,, mwambie hisia zako zilivyo kwake,,,Ana miaka 22 kaka yan yupo sild kweli ni binti wa misimamo ya dini. Sijui hata imekuaje kanitunuku three times kuwa nae na mm sikutaka kutuka kufanya pupa kuitoa hiyo kwasababu najua angenichukia mapema sana. Na mm nina lengo nae huyu binti ila ndo hvyo hata simuelew wakati mwengne anavyo nikatsha tamaa. Nikiwa nae anaenjoy kila ninachomfanyia tukimaliza hanipendi hataki kuonana na mm yan dah.
Shukran sana kakakwa huu ushauri nitafanya hvyo hvyo ulivoniambia sitaki nimpoteze ile ni almasi mchangani kabisaaaMkuu uwe tu na uvumiliv ila anakupenda anataka ajuwe atention yako,,, endelea kumbemneleza tu ipo sik utamula,, kubwa mjali kile atakacho na uwe nae mara Kwa mara,, mwambie makusud yako ni nn kwake hasa upatapo mda wa kuwa nae,,,, muonyeshe unampenda na kumjali,, mwambie hutaki kumtoa bkra Kwa nguvu na kumuumiza,, mweleze unavyojisikia kwake,, mwambie hisia zako zilivyo kwake,,,
Nb: jitahid usimpoteze na kumpa nafas mwanaume mwingne hasa hiki kipnd,,, acha kabsa kumuonesha kuwa una madem wengne nje,, hakikisha mtu yyte wa karib hakuon na Dem akaja akapewa tarfa utajuta hii yote coz unampenda,, Dem bkra hataki pupa na hataki mtu mhuni huni,, anataka uwe wake peke ake,,nakwambia utamla,,, surprise zisiishe kwake mkuu...ukimula Kwa nguvu ukamuumiza,, hutamula tena na kumuoa sahau,,, au jitambulishe kwao na umuoe direct bkra utaitowa hurnmoo.
Unatapeliwa, kenge maji wewe..Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.
Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha hilo kuwa kweli ni bikra.
Hajawahi kunambia ananipenda lakini mimi nilishamweleza hisia zangu na anajua nampenda ila huwa sipati mrejesho mzuri kutoka kwake hajawahi kunionesha mapenzi kama nayomuonesha mimi kwa kifupi mimi ndie namuonesha nimempenda sana.
Yeye huwa ananistukiza tu nakutaka niwe nae faragha gafla na baada ya kuwa nae anarudi kuwa vilevile hana time namimi lakini kwangu mimi ndio anazidi kunifanya nimpende. Naomba kuuliiza tabia yake hii inatokana na nini.
Ni Binti ninayeishi nae nyumba moja ya kupanga. Alishanambia kama mara tatu niwe nae faragha kwasababu kuna jambo huwa nalifanya analipenda ukiacha kuingiza dudu. Nikiwa nae tunaenjoy tukimaliza anarudi vilevile mikausho mikali na kunambia nikae nae mbali mara hanipendi hataki kuwa na mm hajawahi kunipenda sasa najiuliza sana kwanini ananiambia niwe nae faragha naombeni ushauri huyu binti ana nini maana nateseka mimi na mahisia yangu. Nimempenda sana.
Zoba weweAliekuwa ndani ya mchezo ndio anaoujua mchezo upoje kaka.
Huyo rahisi sana tena endelea hivyo hivyo upo kwenye right path. Ila sasa kwa kuwa umesema unakaa nate nyumba moja, fanya mawili. Mfanye aku miss,, Potea kwa siku kama 3 hivi ukirudi utaona.Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea.