Nimekubamba Miss JF

Umejuaje kama mleta mada ni mwanaume???

Hama mwanaume mwenye tabia hiyo, tutake radhi.
Mkuu unadhani angekuwa mwanamke angekuja kutangaza humu. Kwanza ningekuwa mimi ningemsalimia kwa masham sham yoote na kufurahi kumuona mwana jamii mwenzangu na sio kuja huku kuanza kutangaza mara kavaa yebo yebo mara hivi ambapo havina maana yeyote
 
Kwan kuna id ngap zinazoanzia na MISS humu jamii forum..na n machachari???
Tuanzie hapa kwanza....
 
Mkuu unadhani angekuwa mwanamke angekuja kutangaza humu. Kwanza ningekuwa mimi ningemsalimia kwa masham sham yoote na kufurahi kumuona mwana jamii mwenzangu na sio kuja huku kuanza kutangaza mara kavaa yebo yebo mara hivi ambapo havina maana yeyote
Hata hivyo sijasema kama yeye ni mwanamke. Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya mvulana na mwanaume???

Nadhani ushanielewa sasa...

Haya nigongee LIKE moyo wangu uridhike.
 
Hata hivyo sijasema kama yeye ni mwanamke. Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya mvulana na mwanaume???

Nadhani ushanielewa sasa...

Haya nigongee LIKE moyo wangu uridhike.
Hahahaaaaaa! We ni balaa aisee
 
Msaka tonge kwa juhudi zake shida ni nini?

Kama kweli, Miss mtajwa endelea na mapambano duniani hatukuja kuzubaa....

Keep it up
Watu hawaelewi hapa wanadhani Mimi nimekashifu Hapana Mimi nimeeleza kulingana na furaha yangu kumuona mwana jamii mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…