NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #61
Mkuu mbona Unacheka[emoji23]
Ahsante kwa LIKE yako. Nimeshaisevu maana huchelewi kwenda ku UNLIKE.Hahahaaaaaa! We ni balaa aisee
Tunachukia mnavyosema uongoKwa Hyo tukiwaona mnachukia eti Acha zako bhana
Basi siku nyingine nitakaushaMmhhh! Mkuu na wewe kwani ukikumbuka hadi useme?
HHahah mkuu huamin Au syoHuyu atakuwa ametazama ila hajamwona maana Maelezo yake yako wazi
PoleTunachukia mnavyosema uongo
Uuwiiii wala siko hivyo jamaniAhsante kwa LIKE yako. Nimeshaisevu maana huchelewi kwenda ku UNLIKE.
Niko makini kama Plutin.
Shepu anayo mkuuMtoa post miss mwenyewe anachura lakini au ni flat screen.
Mkuu soma ulicho kiandika ndo utajua nilicho kiandikaHHahah mkuu huamin Au syo
Miss chaga na Miss natafutaKwan kuna id ngap zinazoanzia na MISS humu jamii forum..na n machachari???
Tuanzie hapa kwanza....
HahahahaHjamii F. ingekuwa kama face Book daa, watu tungeshka adabu , huendi PM kwa mtu mpaka uangalie picha zake, sasa
√√ sasa huku jf mtu kaweka picha mbaya kumbe yaliyomo yamoo asee
√√ameweka picha ya mrembo na jina lake zuri hatari kumbee daaa, ndo mana hata pm wengine hawajibu sababu litawashukaa
* big up jf kwa kutunza privacy za watu*
Hongera yakeShepu anayo mkuu
Me napenda Sana kuwaona woteHaa haa mimi kiukweli nimewahi kukutana na mwana Jf mmoja japo hakunitambua ila mimi nilimtambua.
Na si mwingine ni mkuu Slim 5
Alikua anatumia simu aina ya HTC flani ivi kubwa na kalii na alikuwa na na mtu pembeni simtaji na yeye alikuwa anatumia HTC kama yake hivyo hivyo.
Ni mtu mmoja mstaharabu sana ukimwona.
haa haa unakuta wengine unaishi nao mtaa mmoja sema huwajui tuu mkuu. Binafsi kuna mtu mzima mmoja mtaani hapa kwangu jamaa tunapigaga naye story za jf sana hasa za matukio muhimu, mfano nikiacha kuingia lazima tukikumbana anipe info juu ya kilichojiri majukaaani ila nimeshindwa kumtambua Id yake teh tehMe napenda Sana kuwaona wote