Nimekubamba Miss JF

Nimekubamba Miss JF

jamii F. ingekuwa kama face Book daa, watu tungeshka adabu , huendi PM kwa mtu mpaka uangalie picha zake, sasa

√√ sasa huku jf mtu kaweka picha mbaya kumbe yaliyomo yamoo asee

√√ameweka picha ya mrembo na jina lake zuri hatari kumbee daaa, ndo mana hata pm wengine hawajibu sababu litawashukaa

* big up jf kwa kutunza privacy za watu*
 
HahahahaH
 
Haa haa mimi kiukweli nimewahi kukutana na mwana Jf mmoja japo hakunitambua ila mimi nilimtambua.
Na si mwingine ni mkuu Slim 5
Alikua anatumia simu aina ya HTC flani ivi kubwa na kalii na alikuwa na na mtu pembeni simtaji na yeye alikuwa anatumia HTC kama yake hivyo hivyo.
Ni mtu mmoja mstaharabu sana ukimwona.
 
Me napenda Sana kuwaona wote
 
Me napenda Sana kuwaona wote
haa haa unakuta wengine unaishi nao mtaa mmoja sema huwajui tuu mkuu. Binafsi kuna mtu mzima mmoja mtaani hapa kwangu jamaa tunapigaga naye story za jf sana hasa za matukio muhimu, mfano nikiacha kuingia lazima tukikumbana anipe info juu ya kilichojiri majukaaani ila nimeshindwa kumtambua Id yake teh teh
 
Mimi kuna siku moja nilikuwa nimepanda DCM za kutoka Mwanza Kwenda Igombe

Kuna mdada fulani hivi alikuwa na jamaa fulani hivi walikuwa wamekaa siti ya nyuma/mwisho kabisa.

Sasa yule mdada akawa anamusimulia kuhusu ubora na uzuri wa mtandao Jamiiforums.

Yule mdada alikuwa mweupe mrefu fulani hivi na alikuwa amevaa gauni refu.

Yule mdada alienda zaidi kumusimulia yule jamaa mambo ya Pm na kumushawishi ajiunge Jamiiforums.

Kisura yule mdada ni mzuri sababu nilimuona ila sikubahatika kupata/kuiona/kumuuliza kuwa anatumia ID ipi huku Jamiiforums.

Kama upo humu wewe mdada uliyepanda siku ile DCM za Mwanza To Igombe Jua kuwa nilikuona sana tu na ulivyoshuka alipitia ile njia ya kwenda ziwani na huyo jamaa.

Mimi nilikuwa naenda Kayenze kule kwa mwarabu wetu MAJID WA DIGIDIGI BUS

Mkuu Evalyn Salt anamjua sana tu huyo mwarabu [emoji85]
 
NALIA NGWENA Mkuu kwa hisani yako, uliyemuona leo ni mimi, nilishawaambia hapa kuwa kule kwetu kwa Mtogole nina biashara ya chapatti na maandazi, sasa nimeongeza mtaji kidogo ndiyo nimepanua na samaki wa kukaanga.
 
Back
Top Bottom