T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Sky EclatNALIA NGWENA Mkuu kwa hisani yako, uliyemuona leo ni mimi, nilishawaambia hapa kuwa kule kwetu kwa Mtogole nina biashara ya chapatti na maandazi, sasa nimeongeza mtaji kidogo ndiyo nimepanua na samaki wa kukaanga.
Ukitaka kuaminika kua unatokea kwa Mtogole acha kuandika 'chapatti' andika 'chapati' 'xhapati' 'shapati' au cd.NALIA NGWENA Mkuu kwa hisani yako, uliyemuona leo ni mimi, nilishawaambia hapa kuwa kule kwetu kwa Mtogole nina biashara ya chapatti na maandazi, sasa nimeongeza mtaji kidogo ndiyo nimepanua na samaki wa kukaanga.
HahahahaHNALIA NGWENA Mkuu kwa hisani yako, uliyemuona leo ni mimi, nilishawaambia hapa kuwa kule kwetu kwa Mtogole nina biashara ya chapatti na maandazi, sasa nimeongeza mtaji kidogo ndiyo nimepanua na samaki wa kukaanga.
Mkuu wapo humu wamejificha Hawa hawataki kabisa kujulikanaMimi kuna siku moja nilikuwa nimepanda DCM za kutoka Mwanza Kwenda Igombe
Kuna mdada fulani hivi alikuwa na jamaa fulani hivi walikuwa wamekaa siti ya nyuma/mwisho kabisa.
Sasa yule mdada akawa anamusimulia kuhusu ubora na uzuri wa mtandao Jamiiforums.
Yule mdada alikuwa mweupe mrefu fulani hivi na alikuwa amevaa gauni refu.
Yule mdada alienda zaidi kumusimulia yule jamaa mambo ya Pm na kumushawishi ajiunge Jamiiforums.
Kisura yule mdada ni mzuri sababu nilimuona ila sikubahatika kupata/kuiona/kumuuliza kuwa anatumia ID ipi huku Jamiiforums.
Kama upo humu wewe mdada uliyepanda siku ile DCM za Mwanza To Igombe Jua kuwa nilikuona sana tu na ulivyoshuka alipitia ile njia ya kwenda ziwani na huyo jamaa.
Mimi nilikuwa naenda Kayenze kule kwa mwarabu wetu MAJID WA DIGIDIGI BUS
Mkuu Evalyn Salt anamjua sana tu huyo mwarabu [emoji85]
HahahahaH Mimi mwenyewe boss wangu yupo humu na huwa ananiambia mambo ya hum Sema sijui id yakehaa haa unakuta wengine unaishi nao mtaa mmoja sema huwajui tuu mkuu. Binafsi kuna mtu mzima mmoja mtaani hapa kwangu jamaa tunapigaga naye story za jf sana hasa za matukio muhimu, mfano nikiacha kuingia lazima tukikumbana anipe info juu ya kilichojiri majukaaani ila nimeshindwa kumtambua Id yake teh teh
HahahahaHUkitaka kuaminika kua unatokea kwa Mtogole acha kuandika 'chapatti' andika 'chapati' 'xhapati' 'shapati' au cd.
Halafu kumbe watu wakija pm unawafurumusha? Unatoa wapi roho ngumu kama hii? Hivi utashindwa kweli kula rambi rambi wewe?
Wapo wengi wa hivyoKwa hiyo hiyo lengo lako lilikuwa uwaone tu ili ujue kasoro.zao eeee.
KumbeeeWapo wengi wa hivyo
Mimi nimefurahi kukutana nae mwana jamii mwenzanguCha ajabu hasa ninini?!
HahahahaHwatu tuna hamu ya kionana humu, tusjie kimbiana tu tulionana
Nini mkuuAiseh!!
hawez kuwa miss chaga,ni dem mmoja mkali sema kafupi ;huyo mnuka shombo atakuwa miss natafutaatakua miss chaga
nawakubali sana wachaga kwa utafutaji
piga kazi mama ila uoge baada maana vumba duuuu
ngoja ajehawez kuwa miss chaga,ni dem mmoja mkali sema kafupi ;huyo mnuka shombo atakuwa miss natafuta
Okay that's great.. Ulijamiiana nae sasa haha?? Hata ka salamu???Mimi nimefurahi kukutana nae mwana jamii mwenzangu
Mh simohawez kuwa miss chaga,ni dem mmoja mkali sema kafupi ;huyo mnuka shombo atakuwa miss natafuta