T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Sky EclatNALIA NGWENA Mkuu kwa hisani yako, uliyemuona leo ni mimi, nilishawaambia hapa kuwa kule kwetu kwa Mtogole nina biashara ya chapatti na maandazi, sasa nimeongeza mtaji kidogo ndiyo nimepanua na samaki wa kukaanga.