NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Hahaha NipmIli ufurahi na wenzio ulitakiwa umpige japo kapicha mkuu. Mana naivuta picha ila inagoma kuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha NipmIli ufurahi na wenzio ulitakiwa umpige japo kapicha mkuu. Mana naivuta picha ila inagoma kuja.
Sio mbaya.... [emoji4]Hapo kwani kuna tatizo Mimi nimefurahi mkuu Hapo nimejaribu kumuelezea Au kuna ubaya kueleza mkuu
Hahahahahahaah mkuu wanakutukanaga pm niniMademu wengi humu wa kawaida sana sema ujuaji tu ndo unawabeba, bora hata beki tatu....
Ngoja aje utamtambuaMiss chaga[emoji23] [emoji23]
Ndo hvyo mkuuSio mbaya.... [emoji4]
Kila mtu ni wa kawaida nyuma ya keyboard[emoji6]
Ili iweje sasa?Hahaha Nipm
pole. usipo angalia siku moja utakutana na jini moja kwa moja maana umezidi kihelehele. ili tu uje umuumbue mwana Jf mwenzako.Habari za kazi wakuu kama mnavyoona ona Hapo juu kichwa cha Habari kinavyojieleza. Leo nimebahatika kumuona laivu mdada maarufu Sana humu jamii forum.
Huyu dada ni machachali Sana na ni mtu maarufu Sana na Vijana wengi huwa wanamfuata pm nikiwepo na Mimi mmoja wapo nilisha Wahi kumfuata pm lakini hata kujibu meseji yangu hakujibu kabisa.
Leo Nilipenda gari kutokea gongolamboto hilo gari lilikuwa linaelekea feli hukooooooo kivukoni.
Nilikaa na binti mmoja kajifunga kitambaa kichwani ni cha rangi ya kijani kajitanda Kanga na chini alikuwa amevaa yebo yebo na alikuwa amepakata ndoo Kutokana ilikuwa ni asubuhi Sana ni dhahir alikuwa anawahi Samaki feli.
Alitoa smartfone yake sijui ni aina gani Dah dikuweza kuitambua kabisa maana ilikuwa imechoka Sana Inaonekana imepata dhoruba za kutosha.
Mara ulimuona anaingia kwenye program ya jamii forum Hiyo ilinishitua kidogo kuona yule dadA anaingia jf.
Nilikuwa attention Sana mara akaingia upande wa pm ilionekana Anasoma meseji zake Hapo ndipo nilipogundua yeye ni nan baada ya kufanikiwa kuona id yake Kipindi anajibu meseji.
Kwanza Nina furaha Sana Huyo niliemuona jina lake linaanzia na MISS.
dah kumbe ni mtu WA kawaida tu na ni msaka tonge hapa mjini Asante Sana mungu endelea kunionyesha na wengine maana huwa wananitukana PM.
Kama na Ww Ulishawah kumuona mwana jamii yeyote katika mazingira yeyote funguka.
Nawasilisha hoja.
Simo mkuuHata mie nilimuona si umtaje tu au unamuogopa miss natafuta ? Ila Mimi sijamtaja
Mbona hata na wanaume nao ni hivyo hivyo.Mademu wengi humu wa kawaida sana sema ujuaji tu ndo unawabeba, bora hata beki tatu....
Wachaga hatuuzi samaki. ..Itakuwa miss chaga huyo
Umejuaje kama mleta mada ni mwanaume???Ndio huo tunaouita umbea, hivi mwanaume unaanzaje kukodolea simu ya mdada macho mpaka ujue kaingia hapa kaenda hapa.
Mmmhhh ungemfuata Pm akupe ruhusa yake. We unadhani anajisikiaje huko aliko?
Hahaa wanaume tukovizuri dada. Alafu wana jf tunapenda kukwepana sana kunammoja ilibakia kidogotu ningemuona.Mbona hata na wanaume nao ni hivyo hivyo.
HahahaDaah[emoji125] [emoji125] [emoji125] namuogopa
Alikukwepaje mkuuHahaa wanaume tukovizuri dada. Alafu wana jf tunapenda kukwepana sana kunammoja ilibakia kidogotu ningemuona.